Msaada kwa muombaji chuo aliyesoma HKL

May 14, 2016
54
19
Kichwa cha habari chahusika.
Binti mwenye two ya 10 HKL anaweza soma kozi gani nzuri bila kukutana na kikwazo kikubwa cha ushindani? (Kozi nzuri kwa watu wa arts) bila kusahau vyuo husika. Nawakikisha.

QuoteReply
ReportEditDelete
Prev
Next

Share:FacebookTwitterGoogle+RedditWhatsAppEmailLinkTelegramInstagram
Remove formatting

BoldItalicUnderline

Text colorFont size

Insert linkInsert imageSmiliesInsert

AlignmentList

UndoRedo

Toggle BB code

Write your reply...
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/365/365938.jpg?1519586982[/IMG]

POST REPLY PREVIEW

ATTACH FILES
365938.jpg

Edit avatar
binti kikojozi
Member
Messages31Likes10Trophy points15
FORUM STATISTICS
thread.png
THREADS1,185,734
member.png
MEMBERS448,609
post.png
POSTS27,503,843
FACEBOOKTWITTERTELEGRAMINSTAGRAM


Previous
WHO WE ARE
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!
Read more...
WHERE ARE WE?
We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...
DISCLAIMER
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...
FORUM RULES
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.
Read more...
PRIVACY POLICY
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.
Proceed here...
Next

Up to top
 
Pia anaeweza kushauri kati ya LLB na Human Resource ipi yenye uangalau kwa mtoto wa mkulima (japo tunajua arts wana taabu sana lakini kuna kwenye angalau kidogo)
LLB iko poa ila kama unataka kua wakili jiandae na law school na pesa ya kurenew mhuri.

Naongelea kwa uzoefu wa mtu wangu wa karibu.
 
LLB iko poa ila kama unataka kua wakili jiandae na law school na pesa ya kurenew mhuri.

Naongelea kwa uzoefu wa mtu wangu wa karibu.
Sawa. Ila hawa watu wa law kwan lazima wawe mawakili? Ani sijui namshauri vipu huyu dogo maana mimi ni wa sayansi na sina idea na kozi za arts kabisa...
 
Sawa. Ila hawa watu wa law kwan lazima wawe mawakili? Ani sijui namshauri vipu huyu dogo maana mimi ni wa sayansi na sina idea na kozi za arts kabisa...
Siyo lazima.

Asipoenda law school anakua mwanasheria, kwa mfano akiajiriwa na halmashauri atakua anaweza kumuwakilisha mwajiri wake ila hawezi kumuwakilisha mtu binafsi.

Na zile dili za elfu 20 za kugonga mhuri anazikosa.

Ndugu Petro E. Mselewa tunaomba utusaidie zaidi.
 
Yaani humu JF naona wanawasaidia watu wa sayansi tu especially afya na engineering programmes😂😂😂. Jamani msaada huku kwa ndugu zetu wa sanaa (arts).
 
We soma koz yoyote unayoijua wewe ila ujue ukimalza chuo jiandae kumalza soli za viatu kwa kuzunguka kutafuta kazi na usifanikiwe
Nakuonea huruma sana dogo
 
We soma koz yoyote unayoijua wewe ila ujue ukimalza chuo jiandae kumalza soli za viatu kwa kuzunguka kutafuta kazi na usifanikiwe
Nakuonea huruma sana dogo
Japo sio mimi lakini kwanini umuonee huruma? Why the negative effect in the first place?
 
Yaani humu JF naona wanawasaidia watu wa sayansi tu especially afya na engineering programmes. Jamani msaada huku kwa ndugu zetu wa sanaa (arts).
Kwa kujazia tu, kuna uwezekano hata hiyo law kwa mtu wa hkl asipate kwa vyuo kama udsm na mzumbe... Law mara nyingi wanataka mtu mwenye geography alevo...
 
Kwa kujazia tu, kuna uwezekano hata hiyo law kwa mtu wa hkl asipate kwa vyuo kama udsm na mzumbe... Law mara nyingi wanataka mtu mwenye geography alevo...
Napingana na wewe. Law wame_focus kwenye language na sio geography hence hkl is more valued than hgk
 
Back
Top Bottom