Naombeni msaada wa kitaaluma hapa

Naombeni msaada wa kitaaluma hapa

mr mkwawa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
146
Reaction score
295
Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc
Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za kuapply UDOM na UDSM.SUA
 
Kozi zote zina tija ndo mana Zinatolewa Vyuoni... Nenda sua pale kasome Agroeconomy
 
Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc
Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za kuapply UDOM na UDSM.SUA
hivyo vyuo uliyochagua kwa hizo pass zako sio rahisi kupata kozi zile za maana.omba digrii za education
 
Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc
Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za kuapply UDOM na UDSM.SUA
KWA pass zako digrii inayokufaa na unayoweza pata kirahisi ni PHARMACY na Digrii ya EDUCATION
 
KWA pass zako digrii inayokufaa na unayoweza pata kirahisi ni PHARMACY na Digrii ya EDUCATION
Hahaha phamarcy serious? Hapati ata st john,majaribu course nyingi tu zipo kama sua,food science and nutrition n.k
 
kasome food science or general agriculture or agronomy or horticulture SUA
 
Alafu mkubwa hiyo hortculture ndio hinahucka na nn
 
Alafu mkubwa hiyo hortculture ndio hinahucka na nn
Kilimo cha mbogamboga na matunda ni course nzuri sana kwa sasa iko na soko zuri kwa sasa.....

Naona upepo wa ajira kwa mashirika binafsi umeamia kwa Horticulture na kwa ushauri wangu jaza hiyo kama chaguo la kwanza ikifuatiwa na food science.... agronomy etc
 
Mkuu mm nakushauri uchaguwe Bsc Forest, Bsc Wildlife izo course zinapatikana SUA maana izo course kwenye vigezo vyake Mathematics awajaipa kipao mbele lkn zilizo bakia wanataka Mathematics (BAM)
 
haya weeee.unakataa kula tembele wakati hela ya nyama huna.hizo pass zako ziko chini ushindani kwenye kozi za uhakika huwezi pata.Pass zako ndio tatizo ziko chini
Kweli kabisa.. Mchawi pass mark hapo...
 
Vyuo vingne vpo hivyo kutokana na ufaul wangu
 
Vyuo vingne vpo hivyo kutokana na ufaul wangu
Ungekua na c ya chemistry ungeomba nursing bugando,jaribu nursing education bugando labda ichek kwanza,maana wana bachelor kama tatu za nursing tofauti tofauti,
 
Back
Top Bottom