Daudi Albert bashiteTaja jina lako nikuangalie kwenye system hapa... Haraka nataka kuondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechanguliwa chato university... Hongera dogoo sorry nmechelewa nlikuwa nahangaika kulitafuta hilo jina lako maana limeonekana tena kolomije institute