Mojamoja01
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 357
- 660
Jamani
Ajira zake ni kama sehem zpAjira zake sio za uhakika sanna but ni miongoni mwa course nzuri.
Research labs, industrial labs, sometime ata kwa mkemia mkuu hutumika, agricultural lab etc.Ajira zake ni kama sehem zp
aah okay so nikishaitim naeza nkakaa km mda gan kabla ya kupata ajiraResearch labs, industrial labs, sometime ata kwa mkemia mkuu hutumika, agricultural lab etc.
Bahati yako na uhangaikaji wako tu usitegemee kuajiriwa siko zote saivi ajira ngumu kila mtu anasota mkuuaah okay so nikishaitim naeza nkakaa km mda gan kabla ya kupata ajira
dah sawa asante mkuuBahati yako na uhangaikaji wako tu usitegemee kuajiriwa siko zote saivi ajira ngumu kila mtu anasota mkuu
Umepata course iyo au??dah sawa asante mkuu
kama labda mnaeza kunisaidia pale SUA kuna course ambae ajira zake ni rahis kupatkana kuliko course hiidah sawa asante mkuu
ndio SUA paleUmepata course iyo au??
bro na ww unasomea iyo nn
Soma hiyo sio course mbaya muhimu uwe competentkama labda mnaeza kunisaidia pale SUA kuna course ambae ajira zake ni rahis kupatkana kuliko course hii
Kwani washaanza kutoa majina na course mtu alopata au?ndio SUA pale
kama.kuna kozi bora zaidi naomba unishauri
Karibu mkuu
Hakika eti wizara ya afya haitutambui ma b tech na biotech cjui kwann aseetatizo course haina licence sk huwez fanya kazi lab za humana na animal ila industries and food processing factoriea unaweza kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app