Wizi ndani ya UDSM

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Kuna hili swala la wizi ndani ya campas ya mlimani. Mwanzoni nilikuwa nalisikia lakini nilikuwa nalipuuzia as nilikuwa nadhani ni carelessnes ya wahusika. Hatimaye jana yamenikuta!
Jana mnamo mida ya saa 2 usiku nilipaki gari eneo la Library nyuma ya Nkurumah, Kulikuwa na gari kama nane na parking yenyewe ina mwanga wa kutosha! Niliingia library kujisomea mpaka mida ya saa 4! Kutoka nje nilihamaki kukuta gari yangu imeibiwa side morror zote na taa za pembeni! nilijaribu kuangalia huku na kule na kubaini kuwa wenzangu wote nao gari zao zilikuwa zimeibiwa side mirrorz!
Tulienda wote Auxilliary police ya pale na wote wakawa hawana cha maana cha kutujibu! Ilibidi tuende kituo cha Police cha pale mliman nao wakaanza kutupa historia ya matendo mbalimbali ya wizi yanayotokea hapo mlimani na hamna wanayemkamata! ilibidi niwe tu mpole mpaka leo asubuhi nijiendee zangu Gerezani labda naweza nikaambulia japo vioo!
OMBI Langu kwa Uongozi wa UDSM! Naomba muondokane tu na hao Auxiliarry police kwani ni KERO na MZIGO kwani hamna ulinzi wowote wanaoufanya!
Its better muajiri kampuni binafsi ya Ulinzi ni case kuna wizi wowote unaotokea hiyo kampuni iwe responsible!
Ni hayo tu kwa leo
 
DAh pole sana ila kama hicho chuo kipo serious watakusikiliza.
 
Mikopo inachelewa kutoka, hiyo ni njia mbadala kwa vijana wa kiume kupata ada
 
Back
Top Bottom