Ifunda Technical Secondary School tukutane hapa

JayJay11

Senior Member
Dec 9, 2015
136
139
Habari,
Nimeunda uzi huu ili wanafunzi na wadau wote wa Ifunda Tech. Tuweze kushare moments.....
Karibuni sana tushirikiane
 
ha haa haaa, nilisoma ifunda kat ya 2003 had 2006, advance, enzi za kina Mwalim Mwinuka, fadhili Makongo, Sarawat, Mruma!

Kitomali, head master alikuwa VAGINGA
 
Nilikuwepo pande hizo 1998-2001
Headmasters Mnenuka na Vaginga,nasikia wote wameshatangulia mbele ya HAKI.R.I.P

Kitomari ndio alikuwa mwalimu mnoko alikuwa anataka tukalime shambani kwake kwa malipo ya chai ya rangi na "kitomari" mimi nilikuwa siendi basi alijenga uadui mkubwa sana nami,kiufupi ni mwalimu mwenye ROHO mbaya.
Nakumbuka mengi sana hasa kwa mama Ng'ombo na Sinza na kaniitie street.
Kimsingi maisha ya pale yataendelea kuishi kichwani hadi kaburini.

duu hatari sana. mitaa ya lyandembela kuogelea kibaoni kula chipsi. ifunda girls kwenye wavu kupapasa waschana makalio. uwanjani kucheA mpira kujificha msitunu. by the way Kisuu headmaster mbatta sakafu kitomari sharo james mwl kingazi komkom man to man ni baadhi ya walimu ambao nmewamis sana. nimamaliza form six 2015 hapo kati. naipenda. sana chama langu ifunda a.k.a university ya full ku doji.
 
kitomari yupo yule mama kumbe ni wa kitambo sana me nmemaliza six pale 2015
 
Ifunda the glorious technical school live long forever ....... Ha ha haaa mmenikumbusha mbali jamani
 
Nilikuwepo pande hizo 1998-2001
Headmasters Mnenuka na Vaginga,nasikia wote wameshatangulia mbele ya HAKI.R.I.P

Kitomari ndio alikuwa mwalimu mnoko alikuwa anataka tukalime shambani kwake kwa malipo ya chai ya rangi na "kitomari" mimi nilikuwa siendi basi alijenga uadui mkubwa sana nami,kiufupi ni mwalimu mwenye ROHO mbaya.
Nakumbuka mengi sana hasa kwa mama Ng'ombo na Sinza na kaniitie street.
Kimsingi maisha ya pale yataendelea kuishi kichwani hadi kaburini.
Kaniitie bila kusahau kukata mikia kwa form ones
 
duu hatari sana. mitaa ya lyandembela kuogelea kibaoni kula chipsi. ifunda girls kwenye wavu kupapasa waschana makalio. uwanjani kucheA mpira kujificha msitunu. by the way Kisuu headmaster mbatta sakafu kitomari sharo james mwl kingazi komkom man to man ni baadhi ya walimu ambao nmewamis sana. nimamaliza form six 2015 hapo kati. naipenda. sana chama langu ifunda a.k.a university ya full ku doji.
Duh.......
 
Tangia walipo anza kukataza kusomea msitu na Matokeo mabaya ya olevel yakaanza
 
Hongereni babu yenu nilimaliza 1981 mwalimu mkuu aliitwa Musa hivi banda bichi bado ipo?
Baba ngalala banda bichi ipo mzee wangubhuwa tunaenda kula kujificha pia kunywa ulanzi na kutafuna toto za ifunda girls sijui kama hii shile waijua maana naskia zaman ilikua chuo cha ualimu ila miaka kama2005 ikwa advance tuu.
karibu sana mzee nimemaliza pale form 6 mwaka jana 2015
 
Tangia walipo anza kukataza kusomea msitu na Matokeo mabaya ya olevel yakaanza
ni kweli mkuu hata sasa bado wanakataza kusoma msituni. ila naona nyie wa zaman mlikua mnatisha maana matokeo yalikua mazur mno.
mambo ya kusomea vibatari hahahhaa.
naskia zaman ilikua ni mixture eti?? na dadaz vipi ulikua unazitumia hizi baraka za Mungu???
 
Baba ngalala banda bichi ipo mzee wangubhuwa tunaenda kula kujificha pia kunywa ulanzi na kutafuna toto za ifunda girls sijui kama hii shile waijua maana naskia zaman ilikua chuo cha ualimu ila miaka kama2005 ikwa advance tuu.
karibu sana mzee nimemaliza pale form 6 mwaka jana 2015
Nillimaliza wakati wanaanza Ujenzi wa chuo wakati ilikuwa ni Ifunda Technical secondary school pekee girls wakati huo walikuwa Na bweni liliitwa kwa Shabu!
 
Back
Top Bottom