Natafuta wanachuo wanaokaa hostel binafsi sinza na mwenge

Natafuta wanachuo wanaokaa hostel binafsi sinza na mwenge

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,700
Reaction score
36,776
habari wadau..

nipo kwenye research ndogo kuhusu hostel za sinza na mwenge.. ni vizuri nikipata connection ya wanachuo wanaoishi huko.. au waliowahi kuishi hizo hostel..

hata hostel za jirani na law school pia..

nipo kwenye deep research ya biashara yangu ya udobi.. ambapo kuna branch inafunguliwa sinza
 

Attachments

  • DOBI UBER 10,,.jpg
    DOBI UBER 10,,.jpg
    139.5 KB · Views: 53
Back
Top Bottom