Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

laban ngosha

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
13
Reaction score
3
Habari zenu wadau!Me ni mwalimu wa sayansi pamoja na computer yaan ICT, nafundisha chemistry, biology na ICT kwa level zote yaan O & A level, pia nafundisha hesabu kwa O level. Natafuta shule ya kufundisha hata kwa kujitolea nipo tayari kwan lengo langu kusaidia,nikukuza na kuendeleza taaluma yangu .
KWA mawasiliano 0687595082

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri tu nipo mwaka 3 tangu 2015 nimesoma kama wewe uwalimu ila nilikuja kujuta nakuona kumbe sio lazima niajiriwe maana nilipoteza mda mwingi kulalamika na kuichukia serikali japo haimaanishi bado siichukii ila nimejiajiri nauza chips japo nilichekwa sana na degree yangu ila wanaonicheka sasa hivi wananiheshimu kwa siku sikosi 30000 mpaka 50000 x30 namzid hata aliye ajiriwa na serikali usikate tamaa riziki yako ipo mikononi mwako na akilini mwako jijenge tabia ya uthubutu kwa kila jambo
 
Asante sana ushauri wako ntaufanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuweza kufahamu ni njia gani walitumia kufanya selection maana kuna mtu amesomea uwalimu wa hesabu na fizikia ameachwa na mwingne biology na ICT amechaguliwa wakat sifa zlihtaji uwe unaweza kufundsha physics na mathematics au mojawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kujitangaza pia ufundishe watoto tuition.. utaanza kwa kupata pesa nzuri tu.. fanya research ujue bei kwa saa etc

Tuma cover letter na CV kwenye shule binafsi mkoa ulipo.. tafita e-mail kwa website zao.. kama wameweka za HR au tuma kwa sanduku la posta..

Nakupa urahisi mzuri zaidi piga simu kwenye hizo shule ulizia jina na contacts za wanaoajili au anayeajiri.. utapewa muongozo kwa nani maombi yako yaende kuomba kazi.
 
Back
Top Bottom