benny benny
Member
- Jan 19, 2018
- 6
- 0
Wadau nawasalimu wote,,
naomba msaada wa kujuzwa kama mtu umesomea nje na umeshafanya equivqlence hapa Tanzania je ukisubmit result slip yako na hiyo equivalence wakati wa kuapply AVN utaipata?
wanaofahamu naomba msaada
muwe na siku njema