Ajira zipo we soma toka na first class 4.4-5.0 gpa,,, vile vile kichwan uwe smart, huwezi kosa kaz mkuu ni swala la muda tuu,Mkuu,,,, kusema ukweli tulio wengi pamoja na maarifa tuna ndoto ya kuajiriwa pia. asante
Baba kwa hiyo GPA atapewa tuu au ataitafuta? Duuuuh madogo wajue chuo s kwamba unaenda tu na unaichukua degree tu kiurahis hivyo. Maana hata ulivyo mtajia hiyo GPA kana kwamba unaipewa tuAjira zipo we soma toka na first class 4.4-5.0 gpa,,, vile vile kichwan uwe smart, huwezi kosa kaz mkuu ni swala la muda tuu,
Hakuna anaye jua kesho, soma mkuu