st marian; Boabab;Wanajamvi naomba kuuliza ipi shule nzuri ya sekondari kwa wasichana ambayo inapatikana tanga pwani morogoro ada isizidi milioni tatu
Ipo wilaya ganiRosimini iko tanga 3,500,000.00....
Shukrani. Mkuu ada zao ni shilingi ngapi kwa mwakast marian; Boabab;
O au A level?Shukrani. Mkuu ada zao ni shilingi ngapi kwa mwaka
O levelO au A level?
3mO level
Tanga mjini...Ipo wilaya gani
Bright Future Girls Secondary School(BFGSS) is the best choice for your daughter. Ipo Dar essalaam, Ilala, Mbondole jirani na Kijiji cha MsongolaWanajamvi naomba kuuliza ipi shule nzuri ya sekondari kwa wasichana ambayo inapatikana tanga pwani morogoro ada isizidi milioni tatu