Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,848
Mimi ni mwalimu Wa masomo ya economics na geography na ninaweza pia kufundisha commerce
Naomba Kama kuna Shule inahitaji mwalimu tuweze kusaidiana na ningependa kufundisha Kama permanent teacher au mkataba uwe miaka miwili na kuendelea.
Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie.
Naomba Kama kuna Shule inahitaji mwalimu tuweze kusaidiana na ningependa kufundisha Kama permanent teacher au mkataba uwe miaka miwili na kuendelea.
Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie.