Napataje reference namba ya malipo ya maombi ya chuo (SUA) 2018/19

Napataje reference namba ya malipo ya maombi ya chuo (SUA) 2018/19

PetersonBay

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
69
Reaction score
15
nilipomaliza registration! na kulogin kwa account niliyoiregister, natakiwa nipewe reference number ili niweze kulipia application yangu ya chuo lkn sikupewa, hii changamoto ni ngeni kwangu,
Capture.PNG

kwa anayejua pls nisaidie natokaje hapa, napataje reference namba, na je reference namba zinafanana kwa wanafunzi wote au ni unique
 
Watakuwa wanatuma kwa email yako uliyotumia, haziwezi kufanana coz ni namba ya malipo as a fee.
 
ingia kwenye email uliyotumia kufungulia hiyo account
 
nilipomaliza registration! na kulogin kwa account niliyoiregister, natakiwa nipewe reference number ili niweze kulipia application yangu ya chuo lkn sikupewa, hii changamoto ni ngeni kwangu, View attachment 865048
kwa anayejua pls nisaidie natokaje hapa, napataje reference namba, na je reference namba zinafanana kwa wanafunzi wote au ni unique
Ninachoelewa mimi ni kuwa, ukisha register account ya application katika chuo husika, watakutumia email yenye link Kwa ajili kuactivate hiyo account (kama system inahitaji hivyo) kisha uta-login. Hatua ya kwanza utajaza personal information, hatua ya pili ndio utapewa reference number.
 
Back
Top Bottom