KITABU: NIFANYEJE ILI KUWEZA KUFAULU MITIHANI YANGU?

MMASSY

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
290
193
Tumekamilisha!!

Kile kitabu chenye kumsaidia mwanafunzi aelewe anachokisoma na afaulu katika mitihani yake kimekamilika.Kitaanza kuwa mitaani tarehe 19 Sept.Kama unataka mwanao afahamu mbinu za kumsaidia kusoma kwa bidii na kufaulu mitihani yake basi kitabu hiki ndio chenye mbinu hizo.Unahitaji mwanao ajifunze mbinu za kusoma na kukumbuka kile alichokisoma basi hiki ndio suluhisho.Mbinu za kujiandaa na mtihani na kujibu mtihani wake vizuri zimefafanuliwa katika kitabu hiki.Mikakati waliotumia watu wengi waliofaulu mitihani yao kwa kiwango cha juu kabisa imeelezewa kwa kina katika kitabu hiki.Ni kitabu ambacho mwanafunzi,mwalimu na mlezi unatakiwa kuna nacho.Kitabu hiki ni muhimu kwa kila shule/chuo kwani washauri wa wanafunzi kwenye mambo ya taaluma watapata mbinu za kuwasadia wanafunzi wao ili waweze kufanikisha ndoto zao.Watakaoweka oda zao kabla ya tarehe iliyotajwa watapata punguzo kubwa la bei.Wasiliana na mwandishi moja kwa moja ujue bei ya punguzo na uwe wa kwanza kukipata.

Wasiliana kupitia

+255(0)758673441

Email: Hollyhandsbooks@gmail.com

Facebook: Holy Hands Book Project

Instagram: holyhands_bookproject
IMG_20180913_115601_810.JPG
 
Back
Top Bottom