Wanaoifahamu Ndwika girls naomba msaada

Wanaoifahamu Ndwika girls naomba msaada

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,319
Reaction score
17,581
Kijana wangu amechaguliwa kujiunga form 5 Ndwika girls, naomba masaada wa kupata joining instructions za shule Ile, uniform na mahitaji mengine.

Naomba msaada wenu.
 
Joining instructions ingia website ya Tamisemi imeweka joining instructions za shule za advance zote.. Shule ipo masasi, mtwara huko.. Shule kongwe sana
 
Joining instructions ingia website ya Tamisemi imeweka joining instructions za shule za advance zote.. Shule ipo masasi, mtwara huko.. Shule kongwe sana
Nimeangalia tamisemi lakini ya Ndwika haipo, zipo za masasi girls na mtwara girls, etc.

Bado tatizo limekosa ufumbuzi, some more please!!
 
Ndwika ipo mtwara wilaya ya masasi. Ili ufuke huko inakupasa upande bus za kusini hasa nyingi zipo Temeke sudani. Utapanda bus za Tunduru au Mangaka. Maana IPO nje ya Wilaya ya masasi mbali na mji wa masasi. Naweza kusema Kama porini kidogo.
 
Selection ya ngapi hiyo? Si form five walianza 16/7/2018!!!!! Hadi muda huu ninavyoandika hii comment yangu wako mapumziko ya katikati ya muhula?
We ni mdau wa elimu kweli?
au umepotea njia??
 
Mara ya mwisho uliingia lini website ya Tamisemi????
Hahahah kama umepotea njia ni vizuri kuuliza.
Mimi niliulizia kuna selection nyingine, naona refusha maneno. Niingine kwenye wavuti ya kutafuta nini. kama kuna selection nyingine wee ungejibu tu
 
Mimi niliulizia kuna selection nyingine, naona refusha maneno. Niingine kwenye wavuti ya kutafuta nini. kama kuna selection nyingine wee ungejibu tu
Kama ungekuwa mdau wa elimu usingesema hivyo Hahahah!!
 
Back
Top Bottom