Msaada wa kimawazo na ushauri

Msaada wa kimawazo na ushauri

Rashidi7

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
612
Reaction score
212
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu (2018) na matokeo yafuatayo;
Economics D
Commerce A
Accountancy B
G/Studies E
BAM E

Tatizo ni kwamba o'level nilipata F ya B/MATHES na D ya Book keeping.. Je naweza kupata nafasi vyuo kama UDSM na Mzumbe??
Asante.
 
Unapataje Fya Math wewe kilaza .
Chuo utapata matokeo yako ya advance yako vizuri.
Atleast umeimprove
 
Unapataje Fya Math wewe kilaza .
Chuo utapata matokeo yako ya advance yako vizuri.
Atleast umeimprove
Dogo nimefuatilia michango yako mingi hapa jukwaani unadharau mbaya sana nakuhakikishia uko chuo unapokwenda haumalizi salama.
 
Dogo nimefuatilia michango yako mingi hapa jukwaani unadharau mbaya sana nakuhakikishia uko chuo unapokwenda haumalizi salama.
Mzee wa Havard unaniita mmi dogo .?
Umesahau kipindi kile unalialia kuhusu petroleum ya Udom .Mimi si ndo nilikusaidia mshenzi wewe.
Afu kwanni umfatilie mwanaume mwenzio .?
 
Mzee wa Havard unaniita mmi dogo .?
Umesahau kipindi kile unalialia kuhusu petroleum ya Udom .Mimi si ndo nilikusaidia mshenzi wewe.
Afu kwanni umfatilie mwanaume mwenzio .?
So kunisaidia ndo tiketi ya kutukana watu au sio?
Wewe ni pimbi sana , Ndugu ameomba ushauri umemjibu kunya izo ni dalili za kimama.

Ningekuheshimu kama ungeendelea kuwa na busara kama za mwanzo lakini nimegundua wewe ni kima tu.
 
Back
Top Bottom