Habr za kazi wakuu,niende moja kwa moja katika mada yangu kama ilivyo andikwa hapo juu. Mimi ni mwalimu Wa sekondari ya Nkome iliyoko mkoa Wa Geita,wilaya ya Geita vijijini,Kata ya Nkome,naomba...
Habari wanajukwaa,mimi ni muhitimu wa diploma ya ualimu nimeapply udsm kwa round ya pili sasa hivi nimeingia kwenye profile yangu naona wameandik Hivi
STATUS : Successfully selected on : Bachelor...
Wakuu poleni na kazi,
nimeshtushwa pale nlipowasiliana na ndugu yangu wa siku nyingi ambaye yeye anasoma chuo cha kimataifa cha kampala baada ya kunipa taarifa kua alichelewa kulipa Ada na...
Habari wana jukwaa,naomba mwenye ufahamu na haya mambo aweze kutujuza
JE YAWEZEKANA MTU ALIYEOMBA KUDAHILIWA MASTERS NA AKAFANIKIWA KUPATA NAFASI YA MASTERS,JE ANAWEZA KUBADILI NAFASI ALIYOIPATA...
Wakuu Habari zenu!
Kwanza Kabisa Natunguliza Kusema Mimi sio Mwanafunzi (Nimemaliza Kusoma Tokea 2005) Wala Sihitaji Kusoma Kwa Sasa.
Ila Kuna Staff mwenzangu Ana Mtotowake Ambaye ana Div II ya...
Msaada tenaa ...jamanii naitajii mtu yoyotee mwenye joining istraction ya masomo ya afyaa kwa chuo chochotee cha government ..kuanzia 2016 mpakaa 2018 ..kwa certificate na diplomaa ...msaada wenu...
Nimefanya kazi ya kuwasaidia watu ku apply vyuo kwa miaka kadhaa sasa tangu huu mfumo wa kutumia 'Admission System' uanze.
Nimebaini jambo moja nyeti sana. Wanafunzi wengi waliomaliza Form Six...
Habari wana jf. Kiukweli matumizi yangu ya jina halisi humu linaninyima haki na uhuru wa kutoa maoni yangu ktk kila thread kwakuwa kama ilivyo kuna thread nyngine inakuwa na hisia kali hivyo...
Msaadaa jamanii naitajiii kama naweza nikapataaa ...JOINING INSTRACTION ya chuo ya kiomboi school of nursing ..au namba za simuu ...mwalimuuu yoyote wa chuo ichooh ...
Nina Mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana alikuwa anataka kuapply clinical officer na mimi sina uzoefu wa maswala ya elimu Naomba msaada jamani kuhusu kozi ya clinical officer, niweze kujua sifa...
Jaman tulio apply nursing na pharmacy St Joseph college of health Tanzania tukutane hapa maana mi upande wang nimeapply nursing diploma ila bado cjapata taarifa zozote
Habari ziwafikie popote mlipo......._.
[emoji441][emoji441] _Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana...
Bila shaka Wana Mzumbe mpo hapa JF, nimetumwa kuwakumbuka wafuatao John Mongela, James Bwana, Michael Thomas Sebastian Sarota, Hassan Rajab Hassan, Patrick Maleva, Anderson Segereti, David Black...
**Samahani anayejua maeneo ambayo MTU aliyesoma kozi ya MOLECULAR BIOLOGY & BIOTECHNOLOGY anaweza ajiliwa au kufanya kazi anijuze hizo organization, institutions zake