WALIMU KAZI IPO

Gustaval

Member
Sep 2, 2018
39
18
Mwalim: We Bwenga mbona upo nje wakati wa vipind?
Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu
Mwlim: whaat!!!
Bwenga: Ujasikia auchukua time sir [ huku akipishana na mwalim kwenda kona ingine ]
Mwalim: [ anamshika kwa hasira anampiga bakora tatu za makalio]
Bwenga: anajiangusha chini, anajigaragaza, anachana shati lake mwenyewe anajinga`ta lips, dam zinatoka, anaigiza kuzimia.
Mwalim: una mapepo?
Wanafunz wengine: ( wanatokea wanapiga kelele ticha kaua)
Marafiki wa Bwenga: wanaleta ndoo ya maji, wanamwagia ,bwenga anajifanya ndio kazinduka lakin anaumwa.hoi kwa kikipigo,
Bwenga: Naombeni mnipeleke hospital, wakiwa njian rafik zake wanapiga sim kwa wazaz wa bwenga,
Wazazi: wanaenda hospital, kisha mmoja anapitia polisi, anabeba askar wanaelekea shule, mwalim anapelekwa kituoni.
Magazeti next day: Mwalim apiga mwanafunzi mpaka kuzimia na kulazwa hospitali kisa katoka chooni akachelewa kipind dk 2,
Serekali: Kamata mkuu, mwl wa nidhamu, fukuza wote kazi, mwalim jela,
Bwenga na rafiki zake:.Tumemkomesha yule boya, kutufatilia tu utadhan katuzaa yeye..
The future tragedy of teaching career in Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me nikiona unajifanya umepandwa na mapepo nakupiga za uso lazima uamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom