Siku ya walimu Duniani, Je una kumbukumbu gani ya matukio ya kusisimua kwenye safari yako ya Elimu?

MuuzaStudyMaterials

JF-Expert Member
Aug 15, 2018
408
454
Kama wadau wakubwa wa elimu kwa upande wa nyanja ya uzalishaji na uuzaji wa study materials kwa walimu na wanafunzi tuna kila sababu ya kukumbuka siku hii muhimu ya walimu.

Kwa msingi huo, tunaamini kila mmoja ana kumbukumbu inayosisimua kwenye safari yake ya elimu. Kama ikikupendeza, naomba share na wanaJF wenzako.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom