Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,332 Reaction score 10,913 Sep 29, 2018 #1 Habari Wakuu! Je chuo cha muhimbilli kimeshatoa majina ya watakaosoma diploma mwaka huu?
stunnacarter2015 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2017 Posts 463 Reaction score 1,288 Oct 4, 2018 #2 Walioapply kwa nacte majina yametoka mda
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,332 Reaction score 10,913 Oct 4, 2018 Thread starter #3 stunnacarter2015 said: Walioapply kwa nacte majina yametoka mda Click to expand... Yametoka kwenye tovuti yao au kwenye akaunt ya aliyeapply?
stunnacarter2015 said: Walioapply kwa nacte majina yametoka mda Click to expand... Yametoka kwenye tovuti yao au kwenye akaunt ya aliyeapply?
C Ctech JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 447 Reaction score 829 Oct 4, 2018 #4 tembelea tovuti yao!
stunnacarter2015 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2017 Posts 463 Reaction score 1,288 Oct 5, 2018 #5 Jokajeusi said: Yametoka kwenye tovuti yao au kwenye akaunt ya aliyeapply? Click to expand... Kwenye profile ya alieaply kwa nacte atakuta kama amechaguliwa ama lah..lakin majina hayajawekwa kwenye website
Jokajeusi said: Yametoka kwenye tovuti yao au kwenye akaunt ya aliyeapply? Click to expand... Kwenye profile ya alieaply kwa nacte atakuta kama amechaguliwa ama lah..lakin majina hayajawekwa kwenye website