Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba msaada mwenye kujua kozi ya bachelor in library and information studies kwa upande wa ajira
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba mwenye joining instruction form za muhas 2018/2019 anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, ningependa kufahamu kama inawezekana mtu mwenye elimu ya form four akasoma sheria na ni chuo gani kizuri kuanzia?? Pia kuhisu scholarships naweza pata baada ya kumaliza...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
kuhusu chuo mimi ni mwanafunzi nimemaliza diploma na G.P.A ya 4.6 ya information and technology nimeapply vyuo viwili wrote wajanipa majibu ukiuliza wanasema tatizo T.C.U kivipi na chuo chetu...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Asalam Aleykum wana jf. Naomba leo niingie humu jamvini kwa namna ya tofauti kabisa kuijadili hali hii ya elim hapa kwetu Tanzania. Kwanza nianze kwakusema kuwa mimi binafsi ni mwajriwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Za jumapili ya Leo. Naomben ushauri WA kitaalamu Kwenye Suala kuchagua Kozi nzuri Kwa Ustawi WA baadae na upatikanaji Wa Ajira. Nina wadogo zangu wawili, mvulana kapata division one ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimechaguliwa chuo zaidi ya kimoja na sijatumiwa codes na TCU nimewapigia chuo wameniambia nisubiri codes za TCU naona muda unazidi kwenda naombeni ushauri nifanyaje
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nacte
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba jibu. Halafu wanaosomea arts mara nyingi huwa ni vilaza
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naombeni msaada Nimechaguliwa chuo second selection ifm lakn ila kwenye orodha ya matple selecton sipo ila ifm walinielekeza kuwa ni confirm code nilizopata toka tcu nami code sijapata hivyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HIVI NACTE VYETI LINI KWA WAHITIMU WA 2017
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza selection za certificate zinatoka lini? Naomba kufaham hili ndugu zangu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujua coz ya Economics and finance inatolewa chuo kipi tanzania
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Wadau naomba kufahamisha Vyuo vinavyotoa Certificate ya Community Health.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa fulsa za ajira kwa artecture
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Wana jf nilikuwa naomba ushauri kuhusu coz ya bsc.degree in biology je aneyeisoma hii course mbeleni anakuja kuwa nani na kuhusu ajira hii course imekaaje huko??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wakuu... Naomba kujua au kuuliza kama kuna vyuo ambavyo havijafunga usajili mpaka mda huu plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Roses Are Red, Violets Are Blue. Poetry is Dead, It Got The Flu.
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Back
Top Bottom