Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kuuliza swali wakuu.Mtu mwenye diploma ya ualimu wa shule ya msingi Ana sifa ya kusoma degree ya ualimu kwa kutumia matokeo yake ya diploma. Ahsante Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wana jamii naomba msaada mwenye kujuwa vigezo vya kujiunga na certificate of computer sience pale Coict(ya wanachukua wastani gani wa 4m4) Natanguliza shuklani Masiya fungi@kat.ph
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kana wanafunzi wana F ya hesabu lakini wana divition II Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018 kwa mara nyingine yameshuhudia shule binafsi zikitamba kwa ufaulu. Katika matokeo hayo yaliyotangazwa wiki iliyopita na Baraza la Mitihani Tanzania...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
St. Francis Mbeya kwawaka moto na Christopher Nyenyembe, Mbeya UONGOZI wa shule ya sekondari ya wasichana ya St Francis...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ARUSHA INSTITUTE OF TRAVEL AND TOUR MANAGEMENT. Nimeambiwa kipo Arusha kwa anayekifahamu anisaidie kama kweli kipo na utoaji wake wa mafunzo upo vizurii au laa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana jf. Lengo la uzi huu ni kupeana taarifa kuhusu utolewaji wa vyeti vya udsm batch 2 ambayo itakuwa ni kwaajili ya wale tuliopata supp third year na wale ambao hatukuwa tukitumia majina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kuliza sifa za kujiunga na chuo cha Hombolo Dodoma kwa kozi development of planning and adminstration.
0 Reactions
16 Replies
70K Views
FAHAMU MITO INAYOBEBA KIASI KIKUBWA CHA PLASTIKI KUPELEKA BAHARINI 1. Chang Jiang (Yangtze River) 1,469,481 tons 2. Indus 164,332 tons 3. Huang He (Yellow River) 124,249 tons 4. Hai He 91,858...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau Habari yenu! Kuna kijana anatafutiwa pahala pa kuresit ili atafute Credit ya somo moja Tu. Ningependa kuuliza kwa wale wenyeni wa Mkoani Iringa. Je kuna Kituo gani au Shule zipi zinatoa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nasubiri kuona wapinzani wasiopinga kila jambo hata jema .....wakitoa hongera za kweli kwa matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2018.Ninaposoma Gazeti la Mwananchi,Tarehe 25/01/2019 ukurasa wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Dini ni kitu kizuri cha kuwarithisha watoto ila sijapata jibu kwa nini serikali haijaweka somo hili lifundishwe tangu ngazi za chini kabisa ili mtoto awe mwenye maadili ya kiuungu. Ukizingatia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau mimi nina material ya chemistry na biology natafuta mwenye material ya Physics A level hasa ya MGOTE na O level pia ya mwandishi yeyote tu badilishane kwa chemistry na biology hata kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bodi ya vyuo vikuu nchini Tanzania kupitia tangazo lake imepunguza vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Hapo mwanzo waombaji wa diploma kuingia chuo kikuu ni lazima...
3 Reactions
199 Replies
64K Views
Vigezo za kuchaguliwa chuo cha ufundi ni vipi??
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikuwa napenda kujua kama Kuna uwezano wa mtu kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali kwa ngazi ya cheti kada ya afya.naomba usaidizi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Siku moja nimeenda kibanda cha chips MIMI:Mtaalam nifanyie chips kavu MPISHI:Subiri kidogo ziko jikoni MIMI:si unipe hizo za kwenye kabati hapo? Nataka kuwahi. MPISHI:Hio zimepoa,subiri hizi...
0 Reactions
6 Replies
54K Views
Samahanini natafuta mwenye soft copy za material ya physics ya A level mimi ninayo ya chemistry A level Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani me ni muhitimu wa kitado cha nne mwaka 2018. Nahitaji kujiuna na chuo cha transport bt vigezo cjavijua. Msaada tafadhali[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
*TANGAZO* Habari wapendwa, Mimi *ARNOLD SWAI* nilikuwa safarini na gari la MTEI EXPRESS kutoka Kahama-Moshi lakin *kuna mtu ameshuka na begi langu la mgongoni* lenye Laptopt, Vitambulisho, Card...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom