Samahani hivi mwaka huu matokeo ya kidato cha nne hesabu haina ?

mbalila

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
823
157
Kana wanafunzi wana F ya hesabu lakini wana divition II
2019_01_29_11.59.08~2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutegemee mashule ya advance ya serikali kujaa ,na wakifanya hivi pia kwenye mitihani advance tutarajie vyuo kujaa

BIG RESULT NOW😂😂😂
 
Kana wanafunzi wana F ya hesabu lakini wana divition II
Wanakokotoa divison kutokana na masomo 7 mwanafunzi aliyofanya vizuri kabisa. Hawaangalii ni masomo gani. Ukiwa na chini ya masomo 7 basi wewe Division 0 inakuhusu hata kama una A tupu.
 
Penalty huwa wanapigwa walopata F ya Civics/Uraia. Ingekuwa wanapiga penalty kwa F ya hesabu si Tanzania nzima ingepigwa penalty?

Acheni kudanganya umma.
 
Back
Top Bottom