Asante,ni classified ipo katika katika GPASijajua hiyo Diploma yako ni classfied au unclassfied. Kama ni classfied means matokeo yako yapo in GPA. kama sio classfied means yanweza kuwa ina eg. Average, Class, grade Etc.
Kama ni classfied inakubidi uwe na Pass 4 Olevel pia uwe na 3 GPA and above.
Kama ni unclassfied uwe na average au grade B+ pia na 4 passes za form 4
Welcome. All the bestAsante,ni classified ipo katika katika GPA
Sent from my TECNO F1 using Tapatalk