Hawatakuchukua kwani wanataka mtu mwenye angalau D ya hesabu, lakini unaweza kuomba UCC (University computer Centre ya UDSM) wao wanatoa Cert?dip za IT wanataka D4 tu.Ukiwa una D4 na c2 ya chemia na physic ila math f kuna uwezekano wa kujukuliwa
Kaka Vp hiki kigezo B)Hawatakuchukua kwani wanataka mtu mwenye angalau D ya hesabu, lakini unaweza kuomba UCC (University computer Centre ya UDSM) wao wanatoa Cert?dip za IT wanataka D4 tu.
Kama una hizo four passes tu bila ya kuwa na hesabu, wanataka uwe na cheti au diploma kutoka chuo kinachotambilika au uwe na amzoezi na uzoefu wa ICT kwa miaka 2, wanamini hivi vinaashiria uwezo wako wa kufanya hiyo course ya CS bila shida (wameandika kwa lugha ngumu kidogo, nategemea sijakosea).Kaka Vp hiki kigezo B)
b) Equivalent Entry Qualifications
Certificate of Secondary Education Examination (C.S.E.E) or East African Certificate of Education (E.A.C.A) – O-level with at least a pass in four approved subjects. Linki hiapa
certificate in computer sience
Kaka Vp hiki kigezo B)
b) Equivalent Entry Qualifications
Certificate of Secondary Education Examination (C.S.E.E) or East African Certificate of Education (E.A.C.A) – O-level with at least a pass in four approved subjects. Lini hiapa
certificate in computer sience
Sawa nimekulewa kaka #ahsante kwa ushauriKama una hizo four passes tu bila ya kuwa na hesabu, wanataka uwe na cheti au diploma kutoka chuo kinachotambilika au uwe na amzoezi na uzoefu wa ICT kwa miaka 2, wanamini hivi vinaashiria uwezo wako wa kufanya hiyo course ya CS bila shida (wameandika kwa lugha ngumu kidogo, nategemea sijakosea).