The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,145
- 8,028
Habar wana jf. Lengo la uzi huu ni kupeana taarifa kuhusu utolewaji wa vyeti vya udsm batch 2 ambayo itakuwa ni kwaajili ya wale tuliopata supp third year na wale ambao hatukuwa tukitumia majina matatu kwenye vyeti vyetu. Hivyo kama kunamtu anajua vitatolewa lini au kama vimeshatoka basi tupeane taarifa hapa. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app