BENEDICT BONIFACE
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 235
- 396
Dini ni kitu kizuri cha kuwarithisha watoto ila sijapata jibu kwa nini serikali haijaweka somo hili lifundishwe tangu ngazi za chini kabisa ili mtoto awe mwenye maadili ya kiuungu.
Ukizingatia faida nyingi tunaweza kupata kama taifa likiwa na watu wanaomjua Mungu vizuri.
Kwanini dini haijapewa uzito mashuleni na kuachiwa wazazi na viongozi wa dini ambapo pia ni hiari yako kuhudhuria kanisani au msikitini.
Naomba maoni yenu wadau. Nawasilisha.