Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora. Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya...
0 Reactions
6 Replies
606 Views
Habari zenu wapendwa wanajukwaa. Nawasilisha, kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, au mtafiti anayekumbana na changamoto za kuandaa maandishi bora, basi usiwe na wasiwasi! Nimekuwa nikitoa msaada...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona...
0 Reactions
9 Replies
956 Views
Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu, Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri. Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia. Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado...
5 Reactions
5 Replies
909 Views
Rev.Prof. Philbert Vumilia Vice Chancellor ,Mwecau: Changamoto za Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Mwecau kimekuwa kivutio kwa wanafunzi wengi wanaotaka kupata shahada za uzamili (Masters)...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26 Eng B Phy F Chem D Kisw F Engl B Civ F Agric F Hist D Bio C Math D Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dkt. Angela Katabaro (kushoto), na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom na Vodacom Tanzania Foundation...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Naomba kujua, Nimepata taarifa kuwa clinical officer asiyepita form six, anawekewa mizengwe ya kunyimwa chance ya kusoma degree! Je, hili Lina ukweli wa kiwango gani jamani?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwema wadau.. Ipi coarse nzuri ya Engineering for now and future. Dogo kaua six hapa hajui anaenda na ipi ukiacha Electrical Engineering.
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita...
2 Reactions
9 Replies
899 Views
Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
0 Reactions
6 Replies
768 Views
Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndg mzazi/mlezi / mwanafunzi. Tunakutangazia masomo ya ziada yaani tuition kwa kipindi cha likizo .masomo yatayofundishwa hasa ni sayansi. ADVANCE 1. Chemistry -Organic chemistry 1&2 @50,000/=...
4 Reactions
10 Replies
719 Views
Karibu tukupe mfumo mzuri wa kuchakata matokeo kwa shule zote nchini hata zile za mitaala mpya tunazo. zipo kuanzia primary hadi vyuo vya ufundi. nipigie 0682744740 tujadiliane! tembelea pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara Nyingi Sana jina linaweza kuwa sababu ya wewe Kupenya ama Kukwama kwenye maisha. Baada ya matokeo ya Kidato cha Nne siku ya Jana Story kubwa ni Mchina aliye pata nafasi ya Pili kitaifa ambaye...
12 Reactions
344 Replies
49K Views
Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui...
0 Reactions
9 Replies
698 Views
Anonymous
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na...
22 Reactions
109 Replies
9K Views
Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business...
2 Reactions
11 Replies
760 Views
Back
Top Bottom