Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi. Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati...
1 Reactions
3 Replies
360 Views
Naomba msaada kwa mtu anayehusika na Utaalam wa Uandishi wa Dissertation.
2 Reactions
16 Replies
940 Views
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa wale wote mliojaza b.a law enforcement udsm.hii ni degree special kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama na inatolewa udsm tu. mara nyingi jeshi la police limekuwa likiwachukua mapema kwa...
2 Reactions
28 Replies
11K Views
tanzania tuna vyuo vingi sana lakini nashanga sijui kwanini fani hizi tanzania hadi leo hiii fani hazitolewi katika vyuo vyetu ........ 1.degree na diploma za graphics designs 2.degree na...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Wazee wa JamiiForums unavyozungumzia suala la shule za serikali zinazoingia 100 Bora katika matokeo ya mtihani wa Taifa kidato Cha nne ni special school pekee zinazoambulia patupu je special...
6 Reactions
122 Replies
9K Views
Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu Elimu ya kikoloni Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri Na technology Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe...
2 Reactions
9 Replies
530 Views
Wakuu habari Naomba kuuliza, Kuna hii kozi inaitwa Geographical information systems ( GIS) and remote sensing .. Naomba kupewa details zaidi kuhusu hii kozi, Kama nitakuwa interested...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri...
2 Reactions
18 Replies
9K Views
Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA. Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida...
2 Reactions
61 Replies
32K Views
LEO NGOJA NIKUMBUSHIE TUKIO ZURI SANA KUHUSU ELIMU Ni muda mrefu sana sijaandika kuhusu Maswala ya ELIMU hivyo wengi wakanibatiza majina mara 'Mr Love ', 'KIBAMIA','Mwanaharati' na wengine...
57 Reactions
503 Replies
112K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo...
10 Reactions
93 Replies
26K Views
Wakuu hii system ni ya muda sana hapa Tanzania. Anatajwa kijana ambae ameongoza Tanzania nzima kidato cha nne au kidato cha sita wanapelekwa bungeni na zawadi kibao wanapewa lakini hadi leo hii...
1 Reactions
515 Replies
147K Views
Tunaomba mtupe hela ya kujikimu. Tunakufa njaa.
1 Reactions
2 Replies
415 Views
Kwanza nashukru, nyote ni wazima wa afya . Naombeni kuuliza hivi, ukisoma education na ulipata mkopo kama unataka kuongeza degree nyingine mara baada ya kihitimu. Unarudisha mkopo kwanza ndo...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
SHUGHULI MUHIMU ZA ELIMU. Na Mwl.Victor Mlaki. Katika jamii changamani pamoja n maendeleo ya viwanda elimu ina umuhimu mkubwa sana, Wanafalsafa wa vipindi vyote vilivyotangulia walionesha namna...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari nduguzangu, Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JAMAN BROTHERS NAENDA F5 COMB YA PMC(PHY,MATHEMATICS,COMPUTER) NATAMAN KUPATA DIVISION 1.3 NAOMBENI USHAURI WENU NA TECHNIQUE ZA KUSOMA
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Hello waungwana! Imekuwa ikisemekana kuwa hesabu na masomo ya Sayansi ni ngumu sana na ugonjwa wa taifa! Lakini kwa uzoefu wangu,nimegundua shida kubwa ipo katika mtazamo tunao jengewa na...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom