Naomba kujua,
Nimepata taarifa kuwa clinical officer asiyepita form six, anawekewa mizengwe ya kunyimwa chance ya kusoma degree!
Je, hili Lina ukweli wa kiwango gani jamani?
Wakimuzuia kusoma MD atafit kusoma course gani sasa?Naomba kujua,
Nimepata taarifa kuwa clinical officer asiyepita form six, anawekewa mizengwe ya kunyimwa chance ya kusoma degree!
Je, hili Lina ukweli wa kiwango gani jamani?
Hpn kwa pharmacy haipo hivyo mpendwa . Pharmacy wanachoangalia ni matokeo ya form four na matokeo ya Diploma. Form six has nothing to do iliupate nafasi na wala hakuna sehem ya ku kuattach nyarak za form six wakat wa application. Ni no ya form four na AVN ya diploma .Ni kweli... Kuna mwongozo umetoka sasa hivi kwamba, wanaotaka kusoma fani za afya kama utabibu (CO), pharmacy nk, lazima O'level awe amesoma na kufaulu somo la PHYSICS kwa angalau "D" kupanda juu.
Na pia mabadiliko ya mtaala mpya ulioanza kutekelezwa, unaeleza wazi kwamba wanaostahili kusoma elimu ya Chuo kikuu (shahada) ni wale TU waliofika kidato cha SITA!
Ukisha attach number ya form four mfumo unasoma na Necta hivyo wana uwezo wakuona kama umefika form six au laaHpn kwa pharmacy haipo hivyo mpendwa . Pharmacy wanachoangalia ni matokeo ya form four na matokeo ya Diploma. Form six has nothing to do iliupate nafasi na wala hakuna sehem ya ku kuattach nyarak za form six wakat wa application. Ni no ya form four na AVN ya diploma .
May be ni kwa mwaka huu .. mimi niliomba chuo mwaka jana na nilipata na sikwenda form six kama huo utaratib unaanza kutumika mwaka huu sawa..Ukisha attach number ya form four mfumo unasoma na Necta hivyo wana uwezo wakuona kama umefika form six au laa
Muda wa kuomba vyuo ukifika uombe chuo.. usisite kwa maneno ya kusikia . Kama unaingia kwa qualification ya Diploma hakuna namna wataangalia advance. Wanaoingia kwa qualification ya advance ndo wanakua guided kulingana na matokeo ya advance. Guideline kwa upande wa kujiunga kwa qualification ya Diploma haioneshi issues za advance kabsa.Naomba kujua,
Nimepata taarifa kuwa clinical officer asiyepita form six, anawekewa mizengwe ya kunyimwa chance ya kusoma degree!
Je, hili Lina ukweli wa kiwango gani jamani?
Ukileta huo Muongozo itapendeza sana MkuuNi kweli... Kuna mwongozo umetoka sasa hivi kwamba, wanaotaka kusoma fani za afya kama utabibu (CO), pharmacy nk, lazima O'level awe amesoma na kufaulu somo la PHYSICS kwa angalau "D" kupanda juu.
Na pia mabadiliko ya mtaala mpya ulioanza kutekelezwa, unaeleza wazi kwamba wanaostahili kusoma elimu ya Chuo kikuu (shahada) ni wale TU waliofika kidato cha SITA!