Habari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya...
Habari Wapendwa,
Mods Tafadhali, ikibidi Hamishieni Uzi huu kwenye Jukwaa la dini/Imani
Habari za Jioni,
Hii ndoto imekuwa ikijirudiarudia hivi sasa kiasi kwamba Karibu kila wiki ni lazima niote...
Habari JF,
Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata?
Maana naona kimya kimetanda...
Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri.
Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za...
Wababe zangu madogo wa form six, hebu tusome reality bila sugarcoating. Kama umemaliza form six na una-plan kurusha maombi kwenye vyuo vya Bongo bila hata kuangalia options za kimataifa, then you...
Hello,
Ni demu fulani anaitwa Cong cong wang hivi kwa sasa yupo shule gani? na kama anasoma bongo, form 6 ya mwaka wao inafanyika lini? ili akishafanya ACSEE, results zake tuzipost humu, coz kuwa...
Kuna mdau yoyote anayekifahamu hiki chuo? kinaitwa University of the people.
Nataka nijiunge kwa ajili ya kuongeza degree.
Chuo kinafundisha Online tu.
Tuition ni free ila unalipa admission...
Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa...
Kama wamekubali kuchukua ada zetumbon awnatudharau kiasi hiki. Ukiwa mwanafaunzi pale OPEN ndiyo utaona ada yako haina thamani kabisa na moja ya kitu najilaumu ni kuijiunga na hiki chuo.
Kwa...
Habari za majukumu wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu;
Ndugu wanajukwaa naombeni ushauri wenu hasa kwa nyie wazoefu na hii kitu inayoitwa...
Leo napenda kuanzisha mjadala wa kiungwana kuhusu kozi tatu maarufu sana kwenye dunia ya teknolojia. Tafadhali changia kwa heshima na adabu, tukilenga kusaidiana.
1. Computer Science
Faida: Hii...
Habari wadau wote wa JF.
Kweny pitapita zangu za hapa na pale humu JF sijakutana na general thread yeyote iliyoanzishwa kwa ajili ya chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili, bac nimeamua...
Wakuu nisaidieni ni chuo gani Poland chenye gharama nafuu na cost of living ambazo ni affordable. Najua kuna watu umu wenye practical experience ya nchini Poland au wenye kuifahamu Poland na...
Job Title: Teacher
Subjects and Academic Qualifications:
Business Studies & History or Geography: Diploma or Bachelor Degree
Science/Information and Computer Studies & Physics or Mathematics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.