SHUGHULI MUHIMU ZA ELIMU.
Na Mwl.Victor Mlaki.
Katika jamii changamani pamoja n maendeleo ya viwanda elimu ina umuhimu mkubwa sana, Wanafalsafa wa vipindi vyote vilivyotangulia walionesha namna...
Habari nduguzangu,
Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na...
Hello waungwana!
Imekuwa ikisemekana kuwa hesabu na masomo ya Sayansi ni ngumu sana na ugonjwa wa taifa!
Lakini kwa uzoefu wangu,nimegundua shida kubwa ipo katika mtazamo tunao jengewa na...
Natumai wote ni wazima,
Nia yangu kubwa ni kufahamu je kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje?
Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana...
Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo:
SPSS,
R,
Python,
STATA,
SmartPLS,
MATLAB,
SAS,
NVivo,
MAXQDA,
📞 Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo:
Simu/WhatsApp...
Kwa sisi tuliokua vipanga wa physics naomba tuujaribu huu mziki Kwa fact even u can mention laws kudefend jibu lako
Je kati ya haya matenki....ni lipi lime apply brakes....and why?
cocastic na...
Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba.
Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa...
Kuna tatizo sugu kwenye vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi cha Institute of Adult Education (IAE). Tangu june 2024 mwaka jana tumehitimu hadi leo hatuna AVN tukifuatilia tunaambiwa jibu...
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule zilizoongoza ni
1. Marian Girls
2. Mzumbe
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009...
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
Soma Pia matokeo mengine kuanzia 2009
Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka
Matokeo...
Haya jamani wale mliomaliza form six wenzangu!,mliokuwa mnadai matokeo hayoo,wiki ijayo ndo wiki ya matokeo.tetesi za tangu 23 april kuwa masomo fulani yamefanya vibaya utajulikana wiki ijayo.
Wakuu,
Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?
Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance)
NAkaribisha ushauri...
Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki?
Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki
Ndugu wanajukwaa,
Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa...
TUJIKUMBUSHE; TUJADILI.
Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa.
Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.