Job Title: Teacher
Subjects and Academic Qualifications:
Business Studies & History or Geography: Diploma or Bachelor Degree
Science/Information and Computer Studies & Physics or Mathematics...
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana kampuni ya Jolly Futures wameandaa mafunzo kwa walimu wa shule ya msingi kuhusu mbinu za kufundisha...
Mm nimeajiriwa kama mwlm ngaz ya cheti ila sitak kuendelea na ualim saaa n kozi gan naweza kujiendeleza nayo ambayo huwa ina nafasi za kazi zaidi msaada wenu wadau
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni...
Kwema wana JF,
Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo...
Mtaala mpya ulioboreshwa wa elimu ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania unalenga kutoa elimu jumuishi, shirikishi na yenye mwelekeo wa ujuzi zaidi kuliko nadharia. Mabadiliko haya yanakusudia...
1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana...
Habari,
Naitaj msaada tafadhali nina shida ya kubadili majina nimefatilia makala kadhaa za watu walojaribu kuulizia utaratibu uko vp kuna kitu nimeona kimezungumziwa sana "DEED POLL"...
Ningependa kuanzisha mjadala kuhusu suala hili la elimu ya juu. Je, ni kweli inafaa zaidi kusomea shahada ya kwanza hapa nyumbani Tanzania, na kisha kama mtu ana uwezo kifedha, aende kusomea...
Habari
Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety.
Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za...
Vijana mnao soma olevel kuanzia kidato cha kwanza hadi ya Sita.
Jifunzeni hesabu online kwa huyu teacher yupo nondo sana.
Channel yake ya YouTube ni...
Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda...
Chuo hiki kinamilikiwa na Wizara ya Ujenzi. Chuo hiki hakiwalipi wakufunzi wake, hakuna workshop na ukizingatia kinatoa Diploma kwa course za engineering.
Wazazi kuweni makini hiki chuo kinafaa...
Shuleni waalimu wanafundisha kuwa uwepo wa dunia ni matokeo ya kuibuka, na sisi tulitokana na sokwe!.... Je, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo Cha dunia hii na sisi Binadamu?
Habari wadau,
Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023.
Kijana huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.