Ushauri kuhusu matokeo ya form 4

Vera ginger

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
1,073
2,000
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
 

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
9,336
2,000
Pcm na F ya physics ulikia wapi? Huyo ampeleke certificate sababu hata credit tatu hana labda hyo kama ni literature in English.
 

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
5,007
2,000
Samahani kwako mleta Uzi

Nami naomba ushauri kwa wadau ana IV ya 26
Hist F
Kiswahili C
Eng C
Geog D
Phys F
Bios D
Chemistry C
Math F
Civics D

Vipi anaweza endelea advance!? Au afanye nini?
 

Guy Isaac

Senior Member
Aug 10, 2019
113
225
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
Mungu akupatii unachotaka bali unachostahili sasa anataka PCM wakati physics ana F does not make sense,, anyway another opt is....if yuko committed sana na kwnda adv kwa hyo comb arudi class tena aanze kidato cha pili na cyo kuliseat atapotea hko
 

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,994
2,000
Huyu aende advance akapige shule kwa hasira atoboe aende university
Samahani kwako mleta Uzi

Nami naomba ushauri kwa wadau ana IV ya 26
Hist F
Kiswahili C
Eng C
Geog D
Phys F
Bios D
Chemistry C
Math F
Civics D

Vipi anaweza endelea advance!? Au afanye nini?
 

Samily de cruze

Senior Member
Jan 12, 2020
199
1,000
Haka kajinga kamefanya maksud kana uwezo ila kameleta uzembe.

PCB uongo labda aseme aende CHUO Cha AFYA


#WalterSam
 

Ghulaam

JF-Expert Member
May 10, 2016
1,560
2,000
Akasome certificate ya account akasome certificate ya pharmacy

Ziko njia nyingi kufikia malengo tusikariri advance tuuuuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom