Wasomi mpo????

Davis chelsea

Member
Jul 28, 2011
93
10
Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
 
Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
Kuna baadhi ya nchi degree ya Chemistry ni hatua moja wapo inayokufanya wewe uwe na kigezo cha kwenda kusomea degree ya Phamacy, vile vile huwezi kwenda medical school mpaka angalau uwe na degree ya Bio-Chemistry.
 
Je history,kiswahili,literature,geograpgy and mathematics vipi?Lakini chaki siyo mbaya ila wewe mwenyewe umejipanga kivipi.
 
we soma tu..................watu wanamaliza bachelor of arts in kisw,eng,eco mwisho wa siku anakuja kua bank teller,soma tu ka chaki utashika tuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom