Habari za leo wakuu wa JamiiForums?
Hivi majuzi nilikutana na ujumbe fulani mzito uliozua tafakari kubwa kwenye mtandao, ukisema hivi:
"Elimu si ufunguo wa maisha, kwani ufunguo bila mlango...
Kwa Hali iliyopo sasa mnapambana na ELNINO na Hadi ratiba zenu mmebadilisha kuanzia kufanya mtihani Hadi tarehe za kufunga shule
Je Kwa Nini hamkatazi Haya mashule binafsi wanaolazimisha kupeleka...
Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba?
Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili?
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho...
Chinese Government Scholarship (CSC Scholarship), is the one of the world’s largest fully funded international scholarship programmes. Sponsored by the Chinese Government through the China...
Wakuu, natafuta shule ya sekondari kwa mtoto wa kike, ambayo wanafunza maadili mema na kusaidia kurekebisha tabia. Naomba msaada kwa mwenye kujua shule za namna kama zipo Tanzania. Imekuwa...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa...
Malipo ya refund chuo cha MUST mbeya hayatolewi licha ya kufuata taratibu zote za kiuongozi huku tukiambiwa kwamba anasubiriwa mkuu wa chuo asaini toka mwaka jana hadi sasa hamna kinachoendelea na...
Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu.
Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na...
WATOTO KUWAHI SHULE ALFAJIRI: JE, NI MAFANIKIO YA KIELIMU AU TISHIO KWA AFYA?
Na Dickson Kapungu Kutoka Songwe.
Watoto kuwahi shule alfajiri imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wanafunzi...
Hii si hadithi ya kusimuliwa bila ushahidi, nina vielelezo vinavyothibitisha ninachokizungumza.
Nimekuwa nikijiuliza kama niwashirikishe hapa kwa kuwa wahusika wanaonekana kuwa na kiburi na...
Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT...
Niko katika Hali mbaya naombeni ushauri wenu .
Mm ni mwanachuo mwaka wa pili Bachelor of science in nursing.
Chuo kikuu kilichopo Dodoma (private) ,ambapo nalipa Ada 3M.+compulsory charges(350k)...
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha.
Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026...
Kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu...
Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET...
Nimehitimu katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) Mwaka 2021, lakini hadi sasa mwaka 2026, matokeo yangu ya mwaka wa pili kwa Mwaka wa Masomo 2019/2020 hayajawasilishwa NACTVET.
Hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.