Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,158
- 6,301
Habari wakuu.....mim ni mkemia nipo hapa kwa ajili ya kuitumia taaluma yangu ya ukemia na uwezo wangu wa kufundisha mim ni mwanafunz wa chuo mwaka wa 2 naenda course ya b.chem lakini pia niko na uzoefu wa kufundisha shule za sekondari takribani miezi 7 na nimefundisha shule tofauti nikiwa mkoani Mbeya nilipomaliza kidato cha sita na nikiwa likizo kipind hiki nipo chuo.lakini kwa sasa nipo likizo mkoani Iringa-iringa mjini hivo naomba kuwa temporary teacher katika shule yoyote ya sekondari hapa mjini kwa muda wa mwezi mmoja na nusu au tution centre yoyote inayohitaji mwalimu wa kemia.
Nawasilisha wakuu....Tujenge pamoja taifa.
Nawasilisha wakuu....Tujenge pamoja taifa.