Ushauri, nisome CPA au masters ya education?

jogijo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
262
Reaction score
509
Wakuu kwems?
mimi ni mwl kwa 10 years now, (accounts and Business) nawaza ipi itanipa faida, kusoma CPA au kuongeza masters + PhD? ipi inaweza kunipa faida kwa sasa.
niko government schools.
natanguliza shukrani
 
Kama una GPA ya 3.8 na kuendelea Soma masters ya accounting and finance, au MBA. Kama huna GPA ya 3.8 Soma CPA.
 
Nipe madesa na Mimi na hamu ya kupata CPA

NAKUMBUKA KUNA THREAD ULIWAI IPAMBANIA MPAKA UKAIPATA..

NATAKA NIITWE CPA . DR. AM 4 REAL PHD.

N.B Nina postgraduate ya finance.
 
Sababu mkuu?!
Mara nyingi lengo la kusoma masters ni kujiandaa kuwa mwalimu wa vyuo vikuu. Ambapo ili uweze kukidhi vigezo ni lazima uwe na GPA ya 3.8 kwenye shahada yako ya kwanza.
Wakati CPA ni sifa ya kitaaluma inayorahisisha kupata ajira katika sekta ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu. Aidha, CPA mwenye leseni ya kufanya kazi (practising certificate) anaweza kuanzisha kampuni yake ya uhasibu au ukaguzi na kusaini taarifa za kitaaluma kwa kutumia muhuri wake, jambo ambalo haliwezekani bila idhini hiyo ya kitaaluma.
 
Ahsante mkuu,Barikiwa.
 
Dhima ya masters ni kuwa mbobezi kwenye eneo Fulani

Sio LAZIMA ukafundishe chuo kikuu Kuna areas nyingi za mtu kuweza ku practice elimu yake ya degree ya pili
 
Wakuu kwems?
mimi ni mwl kwa 10 years now, (accounts and Business) nawaza ipi itanipa faida, kusoma CPA au kuongeza masters + PhD? ipi inaweza kunipa faida kwa sasa.
niko government schools.
natanguliza shukrani
Anza na masters halafu baadae soma hiyo CPA.shida ya CPA mtu inaweza kufanya miaka hata sita bila kuipata hivyo itakuchelewesha wewe gonga masters yake halafu CPA soma kama hobi
 
Back
Top Bottom