Mzumbe & Tabora Boys & Kibaha & Ilboru; Shule Maalum yako pendwa ni ipi?

Walikuwa tofauti na wanavyoimbwa....... hawawezi kujitegemea kabisa mpaka walishwe na kijiko
Hapana sidhani kama ni kweli walitoka hizo shule, wangekuwa wametoka shule za St hapo Sawa ndio waga wanahitaji mazingira mazuri ya kujisomea na umaridadi wa walimu

ila wanafunzi wa vipaji wao waga sio wanafunzi wa kutegemea kijiko never, Kwanza picha linaanza walimu wa Hizi shule anaweza akaingia class mara 1 Kwa mwezi baada ya hapo hamumuoni tena

Wanafunzi wa hizi shule wanajitemea wao kwa wao, yani unakuta wa kidato cha juu ndio anawapigia mapindi wa vidato vya chini, au kipindi cha likizo wanagawana topics kisha wakirudi kila mmoja anakuwa Nondo kwenye topic aliyoipiga then wanaanza kupigana msasa wenyewe

Watu wakiskia vipaji basi waga wanadhani kuna walimu wazuri sana huko au labda kuna mazingira mazuri sana ya kujisomea kumbe hakuna kitu, wanafunzi wanashinda wanazurula tu hovyo kitaa

Kinachozibeba hizi shule ni kitu kimoja tu, ni kweli kuwa Kwa asilimia kubwa wanaoenda kwenye hizi shule ni vipaji kweli kweli, ni wale madogo ambao kichwani wako vizuri haswa, yani pamoja na uhaba wa walimu, pamoja na mazingira kuwa sio rafiki ila Necta watapelekewa Moto tu

Alafu kuna wale ambao waga wanaenda kwa influence ya wazazi/walezi/ndugu, yani unakuta dogo hana uwezo wa kwenda shule ya kipaji ila anachomekwa ili tu afurahishe wanafamilia, sasa hawa ndio wale ambao wengi wanakimbia au wanazingua sana kwenye matokeo

Ukimtoa mwanafunzi ambae let's say O-level alipiga hizi shule za St kisha Advance akaenda hizo shule za vipaji kama Tabora boy's or Girls, au Mzumbe/ilboru huyo akitoboa huko ni Mwamba kweli kweli
 
Nimesoma na vijana wa Mzumbe,Ilboru na mmoja wa Kibaha......bora kidogo wa Ilboru alikuwa na kitu ila hawa wengine walipata shida sana maana Advance hatukuwa na waalimu kabisa wa baadhi ya masomo, hawakuwa wanaweza kujitafutia kabisa.Ninachokisema nikwamba si wote wanaenda Kwa uwezo wao, wengine wanapelekwa tu kutokana na nafasi za wazazi wao ila hawana kitu
 
Acha uongo wewe juha.
Mapovu na mate yanakutoka kwa vile huku-bahatika kusoma special school.
 
Wazee wa JamiiForums unavyozungumzia suala la shule za serikali zinazoingia 100 Bora katika matokeo ya mtihani wa Taifa kidato Cha nne ni special school pekee zinazoambulia patupu je special school ipi unaiadmire zaidi ya zingine zote wadau toa na sababu Mimi naipenda zaidi Mzumbe kwenye Elimu na ustrict wao
Igawilo High School
 
Kuna jamaa kadhaa nilikutana nao advance wametoka hizo shule walikuwa weupe kabisa nikawa najiuliza hivi huo uspecial wa hizo shule ni nn?
Hata mimi niliosoma nao Advance waliotoka hasa Kibaha, tuliwakimbiza sana. Yaani ilikuwa ukiambiwa huyu katoka Kibaha tena na Div I unabaki unashangaa.

Kwa upande mwingine wale wanaotoka hizo shule maalum na kwenda shule nyingine maalum(Kibaha - Mzumbe - Tabora - Ilboru) angalau wanamaintain ubora wao.

Wengine nilikutana nao chuo walikuwa wazuri pia.
 
Nimesoma na vijana wa Mzumbe,Ilboru na mmoja wa Kibaha......bora kidogo wa Ilboru alikuwa na kitu ila hawa wengine walipata shida sana maana Advance hatukuwa na waalimu kabisa wa baadhi ya masomo, hawakuwa wanaweza kujitafutia kabisa.Ninachokisema nikwamba si wote wanaenda Kwa uwezo wao, wengine wanapelekwa tu kutokana na nafasi za wazazi wao ila hawana kitu
Kwenye kundi la Mamba kenge huwa hawakosekani mkuu kwahiyo ni kawaida kabisa, kuna baadhi ya madogo wanawekwa tofauti na uwezo wao, me nishashuudia kadhaa pale Tabora boy's

ila bado haiondoi uwezo wa wale madogo, Shule za vipaji ukikuta mtoto kaenda bila janja janja hao madogo ni hatari sana, asilimia kubwa waga ni wale wa msuli sisimizi matokeo tembo

Ila pia kuna shida ya Adaptation huwa inafanya baadhi ya madogo uwezo uwe mdogo, mwingine akichange mazingira inakuwa ngumu sana kukope na mazingira hayo na bahati mbaya advance waga inakuwa na muda mfupi sana wa maandalizi

Hapa sio Kwa hao tu wanaotoka vipaji ata wanaotoka sehemu ingine, unakuta katoka huko kapiga kijiti ila akienda sehemu ingine anakuwa wa kawaida kwa sababu tu kuna vitu alizoea na leo havipo tena

Kuna baadhi ya watu ili apige msuri vizuri au aelewe vizuri inabidi akae sehemu flani,akae karibu na flani,apate Kwanza kitu fulani,asome muda fulani na kuna baadhi ya madogo wanakuwa wametengeneza bond wakati wa O-level sasa akifika sehemu mpya huo unakuwa msala

Kwahiyo nakubali kuna baadhi ya madogo wanatoka vipaji na ila wakienda Advance shule ingine wanakuwa mdembwedo ila ni wachache sana, ukweli ni kwamba walio wengi waga wanakuwa na Balaa kama kawaida kwani issue ya walimu wachache kwao halijawahi kuwa tatizo
 
👍🤝
 
Wazee wa JamiiForums unavyozungumzia suala la shule za serikali zinazoingia 100 Bora katika matokeo ya mtihani wa Taifa kidato Cha nne ni special school pekee zinazoambulia patupu je special school ipi unaiadmire zaidi ya zingine zote wadau toa na sababu Mimi naipenda zaidi Mzumbe kwenye Elimu na ustrict wao
Unaposema "special school" una maanisha nini?
 
Back
Top Bottom