Matokeo Kidato cha Sita 2009

Kiwango cha ufaulu kwa jumla kimeongezeka kwa asilimia 1.65 kulinganisha na mwaka jana.
Aslimoa 90.92 ya wasichana (17,152) waliofanya mitihani wamefaulu wakati wavulana waliofaulu ni asilimia 88.89 (28,564).
matokeo zaidi nenda www.matokeo.necta.go.tz au www.moe.go.tz au www.udsm.edu.ac.tz (Hizi si link ni address tu, hivyo copy na paste itakupeleka huko)
 
Ten best schools with less than 25 candidates

St James Seminary – Kilimanjaro
Kisimiri - Arusha
Masama Girls - Kilimanjaro
Katoke Seminary - Kagera
St Joseph-Kilocha Seminary – Iringa
USA Seminary – Arusha
St Peter’s Seminary – Morogoro
St Francis Desales Seminary – Morogoro
Arusha Catholic Seminary – Arusha
Dungunyi Seminary – Singida

Ten best schools with more than 25 candidates
Kibosho Girls – Kilimanjaro
Mariab Girls – Coast
Kibaha - Coast
Mzumbe - Morogoro
Ilboru - Arusha
Malangali -Iringa
Maua Seminary – Kilimanjaro
Uru Seminary – Kilimanjaro
St Mary Goreti – Kilimanjaro
Boniconsili Mabamba Girls - Kigoma
 
Overall ten best students nationally
Auden G Kileo (M) – Kibaha – PCM
Raymond Aidan (M) – Kibaha – PCM
Frank Shega (M) – Tabora Boys – PCM
Charles M Simkonda (M) – Ilboru – PCM
Mackean G Mwaijonga (M) – Feza Boys – PCM
Sophia Nahoza (F) – Marian Girls – PCM
Atupele Kilindu (M) – Mzumbe – PCM
Athuman Juma (M) – Ilboru – PCM
Dikson Muregeki (M) – Tbora Boys – PCM
Michael Andrew (M) – Ilboru – PCM

Ten best Girls
Sophia Nahoza – Marian Girls – PCM
Leila n Ahmad - Boniconsili Mabamba Girls – HKL
Tunu Mangara – Marian Girls – PCM
Naomi Elibariki – Jangwani – HE
Agnes Dominic – Kibosho Girls – HKL
Habiba A Twaha – Lumumba (Unguja) – HGK
Furaha Amos – Marian Girls – ECA
Amina G Mziray – Machame Girls – HKL
Asimwe T Rugantoisa – Barbro-Johanson – PCM
Upendo Steven - Weruweru - ECA

Ten best boys
Aude N Kileo – Kibaha – PCM
Raymond Aidan – Kibaha – PCM
Frank Shega – Tabora Boys – PCM
Charles M Simkonda – Ilboru – PCM
Mackean G Mwaijonga – Feza Boys – PCM
Atupele Kilindu – Mzumbe – PCM
Athuman Juma – Ilboru – PCM
Dikson Muregeki – Tbora Boys – PCM
Michael Andrew – Ilboru – PCM
Fidahussein G Premji – Al-Muntazir Islamic – PCM

sorry wapenzi, nimeyapata sasa hivi na mimi nayafanyia kazi zangu ili mkate uende kinywani lakini kwa mapenzi yangu hapa nimeamua kuwashtua, mnaweza kucheki hizo website (sina hakika) kama wameshabandika kwa sababu hata mimi sijazicheki-nimepata hard copy)
 
What is the secret behind PCM. Ten best students wote ni kutoka PCM. Congratulations vijana... Twende tuimarishe sayansi
 
Naona vijana wa Ilboru wamefanya balaa, japo wamerank namba tano kitaifa lakini katika somo moja moja naona wamekamata namba moja kitaifa kwenye Hesabu na Physics, Zamani ilboru kuishinda mzumbe kwenye Physics ilikuwa Ngumu. mimi kama Alumni vijana wamenifurahisha sana.
 
What is the secret behind PCM. Ten best students wote ni kutoka PCM. Congratulations vijana... Twende tuimarishe sayansi

PCM
P=M literally speaking ;)

....and Math is easy

Mtwangie Geography hapo uone (PGM)
 
Mpita Njia,

Ahsante kwa hii info.

Kilimanjaro bado iko juu..ila mikoa mingine kama Arusha na Morogoro wanajitahidi kupanda.
 
What is the secret behind PCM. Ten best students wote ni kutoka PCM. Congratulations vijana... Twende tuimarishe sayansi

Hawa wamefanya form VI, tuombe Mungu waende kusoma Sayansi Chuo kikuu...wasiwasi wangu asilimia kubwa ya hawa wataishia kwenye masomo ya biashara kwa kuyaona marahisi na pia tamaa ya kupata kazi kwenye mabenki na tra..!!!
 
PCM
P=M literally speaking ;)

....and Math is easy

Mtwangie Geography hapo uone (PGM)

Mkuu wape Credit vijana, wamefanya vizuri. Kusema Math ni Easy wakati vijana wamekesha wakisoma kwa bidii ni kuwaonea.

Somo gumu kwako ni jepesi kwa mwingine....
 
Congrats kwa vijana wa Mwampaja-KIBAHA ,overall rank kwenye kila somo
Accountancy,Agriculture-1
Commerce,Economics,Biology-2
Adv Maths-3
Physics-6
Chemistry-7
 
Hawa wamefanya form VI, tuombe Mungu waende kusoma Sayansi Chuo kikuu...wasiwasi wangu asilimia kubwa ya hawa wataishia kwenye masomo ya biashara kwa kuyaona marahisi na pia tamaa ya kupata kazi kwenye mabenki na tra..!!!

Mkuu, I support your observation.

Tatizo siku hizi nchi yetu imeshakuwa ya ujanja ujanja..kila mtu anataka maisha ya mkato. NANI aende FoE kuvaa overoli..wakati anajua akila Bcom...anaingia CRDB au NMB chapchap? I can assure you, at least from experience..asilimia kubwa ya hawa vijana wataishia Biashara na Law....au Computer Science...Vijana wanajitahidi..swala ni serikali kurudisha heshima ya elimu kwa ujumla. Unapomuona Professor wa Physics na Chemistry akiwa frustrated kwa mshahara mdogo..wakati akina Chitalilo darasa la saba wakiwa wanapeta..you wonder what is wrong with a young man going to specialize in Bs Physics au Chemistry...Ukweli siku hizi ni vigumu sana kwa Tanzania yetu kuukimbia umasikini kupitia taaluma ya sayansi. Inwezekana lakini ni ngumu mno. Zamani mtu alikuwa akipata A ya kemia au hisabati..anaonekana kipanga..lakini siku hizi....hali imebadilika sana. Utakuta "ngwini" waliokuwa wanachekwa..ndo wameshikilia mpini...Sayansi unasoma...na GPA yako nzuri....inabidi ukapange foleni Vodacom au Zain..kupanda minara.....We really need to put science in its rightful place. For now..we are on a wrong course.
 
Mkuu wape Credit vijana, wamefanya vizuri. Kusema Math ni Easy wakati vijana wamekesha wakisoma kwa bidii ni kuwaonea.

Somo gumu kwako ni jepesi kwa mwingine....
Lengo langu ni kumpa jibu Mpita Njia na sio kubeza watu wa PCM.

Math = Physics

Kuhusu hoja yangu kuhusu Math kuwa rahisi, watu wa PGM wataweza kuelezea hili vizuri (Kupinga au kukubali hoja yangu). :)
 
Mkuu, I support your observation.

Tatizo siku hizi nchi yetu imeshakuwa ya ujanja ujanja..kila mtu anataka maisha ya mkato. NANI aende FoE kuvaa overoli..wakati anajua akila Bcom...anaingia CRDB au NMB chapchap? I can assure you, at least from experience..asilimia kubwa ya hawa vijana wataishia Biashara na Law....au Computer Science...Vijana wanajitahidi..swala ni serikali kurudisha heshima ya elimu kwa ujumla. Unapomuona Professor wa Physics na Chemistry akiwa frustrated kwa mshahara mdogo..wakati akina Chitalilo darasa la saba wakiwa wanapeta..you wonder what is wrong with a young man going to specialize in Bs Physics au Chemistry...Ukweli siku hizi ni vigumu sana kwa Tanzania yetu kuukimbia umasikini kupitia taaluma ya sayansi. Inwezekana lakini ni ngumu mno. Zamani mtu alikuwa akipata A ya kemia au hisabati..anaonekana kipanga..lakini siku hizi....hali imebadilika sana. Utakuta "ngwini" waliokuwa wanachekwa..ndo wameshikilia mpini...Sayansi unasoma...na GPA yako nzuri....inabidi ukapange foleni Vodacom au Zain..kupanda minara.....We really need to put science in its rightful place. For now..we are on a wrong course.

Afadhali hata waende huko kwenye computer science... nadhani ni wakati sasa akina Dr Shein na Dr Gharib Bilal wakachukua hatua za makusudi kufanya kampeni za wanafunzi kupenda masomo ya sayansi. Walitakiwa kuwa role models wa vijana wetu kwa sababu wao waliyamaster masomo hayo
 
Back
Top Bottom