Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu.
Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni...
Cv yake hii
Amesoma private school O-level
A-level amesoma shule ya kata kombi PCB
Shule ya msingi amesoma private school
Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
Habari zenu wakuu.
Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo...
Sasa ni mwezi na nusu toka tulipowezeshwa semina ya mtaala mpya wa kidato cha tano na sita lakini mpaka sasa hatujapewa hela zetu, ni mwezi na nusu toka tulipoahidiwa kulipwa lakini bado...
Moja kwa moja..
Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia...
Habari wakuu,
Samahani sana naomba kupata msaada wa ushauri juu ya hili:- "Kuna ndugu yangu alifaulu vizuri mwaka jana na kupata nafasi ya kwenda Advanced Tanga, ila hakuweza kwenda kutokana na...
DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo...
Ndugu, Nimependa kukushirikisha jambo hili ambalo, kimsingi, katika ulimwengu wa sasa halikwepeki kabisaaa...
Jambo hili ni kama kichwa cha mada hii kinavyosema hapo juu. Nina amini kuwa...
Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya...
Salamu!!
Wale wote wenye hamu na uelewa wa kutosha nimeona DUCE wametoa master ya Arts with Education ambapo utasoma master ya ualimu na somo moja la kufundishia ambapo yapo matano unatakiwa...
Naibu waziri wa Elimu bwana Mulugo amesema kuwa serikali ya Tanzania Bara ina mpango wa kuanzisha utaratibu wa kuwa na Mtihani wa Taifa kwa wanafunz wa darasa la 2,
Amesema lengo la kuja na...
Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta...
Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa...
Hivi ni baada ya kufanya utafiti kwa baadhi ya shule ambapo wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa (Arts) wamekuwa wakizuiliwa kusoma somo la Hesabu.
Kwa ujumla huu ni ukiukwaji mkubwa wa sera ya...
Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika.
Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10
Physics D...
Shalom shalom
Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa...
Elimu ya chuo inamjenga kijana kujiimarisha zaidi katika kile anachosomea, lakini kumekuwa na msomgamano wa masomo mengi ya ziada ambayo kwenye soko la ajira hayatambuliki.
Kwa mfano mwanachuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.