Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hesabu za Simultaneous equation zinaweza kusoviwa kwa njia nne ambazo ni 1) Substitution method 2)Elimination method 3)Graphical method 4)Matrix method. Hivyo thread zijazo tutatazama...
2 Reactions
11 Replies
625 Views
Nilikuwa naomba cheti kipya cha kuzaliwa ila nilivyofika kwenye kuweka attachment naambiwa vinatakiwa signed attachments sasa sielewi hizo signed zipoje kwasababu hizi za kawaida nilizonazo zinakataa
1 Reactions
3 Replies
327 Views
Msaada wa orodha ya vyuo vinavyo toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Mwenye uwezo wa kunisaidia nakala tajwa hapo juu anisaidie
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Anonymous
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imemzawadia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Nsumba, Denis Mwakisimba, gari aina ya Toyota IST kutokana na mchango wake mkubwa katika kuinua kiwango cha ufaulu...
0 Reactions
8 Replies
711 Views
Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga. Kozi zitakazotolewa, Undergraduate 1. Bsc Aquatic Science, 2. BA African Medicine, 3. BA Islamic...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Anonymous
Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua...
2 Reactions
7 Replies
588 Views
NACTEVET ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa. Habari Naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabiri mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka Kwa watu wa nactevet...
0 Reactions
1 Replies
488 Views
HAYA KOKOTO ZINAITWAJE KWA KINGEREZA? TUJUE KWELI WAZAZI HAWAKUPOTEZA ADA KWAKO
1 Reactions
4 Replies
307 Views
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary. Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani...
3 Reactions
65 Replies
26K Views
Wakuu habari.... Hope mko poa katika ujenzi wa Taifa Kuna hii kozi ya diploma in pipe works oil and gas engineering ambayo ilianzishwa mwaka 2017 chuo Cha ufundi Arusha na mpk sasa inatolewa na...
1 Reactions
2 Replies
706 Views
Anonymous
Inaonekana kama server za HESLB zimekua compromised kwa sababu kila ukitaka ku log-in kwenye akaunti yako inakataa na nimejaribu kutumia browser tofauti tofauti lakini shida ipo pale pale. Tena...
0 Reactions
7 Replies
591 Views
Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa...
1 Reactions
2 Replies
702 Views
Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye...
1 Reactions
1 Replies
869 Views
Wakuu nahitaji msaada! Eti Bachelor of environmental science ni course unayomuanda mtu kwa career kama zipi?? Msaada tafadhali.
1 Reactions
13 Replies
12K Views
Ushauri wenu juu ya course hiyo
0 Reactions
62 Replies
15K Views
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa Mimi natamani nikasome Information technologies (IT) lakini nakatishwa tamaa na watu wanasema hakuna ajira
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom