Asa a level kaenda kufanya Nini kama atak degreeDiv 3
Daaah pole sana hapo 60% anaweza kukosa .labda kama alikuwa ana ufadhili kwenye masomo yakeCv yake hii
Amesoma private school O-level
A-level amesoma shule ya kata kombi PCB
Shule ya msingi amesoma private school
Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
Kwa ushauri wangu, kama nyumbani Vicente vya kubadilisha mboga vipo, asichukue huo mkopo.Cv yake hii
Amesoma private school O-level
A-level amesoma shule ya kata kombi PCB
Shule ya msingi amesoma private school
Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
Yani kwa mfumo wa siku hizi mkopo unatolewa kwa wahitimu walio soma serikali 2 kwanzia primary mpka advance baada ya hapo ndo walio soma private watapewa lakin ni very layer sana mana wa private wanawekwa kama reserve tu maybe ni special group, au orphan otherwise kupata ni mtiti japo aombe mungu ni mwema anaweza bahatikaCv yake hii
Amesoma private school O-level
A-level amesoma shule ya kata kombi PCB
Shule ya msingi amesoma private school
Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
INawezekanaCv yake hii
Amesoma private school O-level
A-level amesoma shule ya kata kombi PCB
Shule ya msingi amesoma prte school
Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma