Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Shalom shalom wakuu! Natarajia kufanya mtihani kidato Cha SITA kama Mtahiniwa wa kujitegemea. Sasa kuna hili somo la General study. Je, Kuna madhara nisipolifanyia mtihani? Angalau nipunguze...
1 Reactions
7 Replies
499 Views
Jamani kama kichwa kinavyoieleza. Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwezi January yeye alikuwa anafundisha Meta sec school pale Mbeya somo la history. Naomba kwa yeyote...
7 Reactions
126 Replies
15K Views
Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza? Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya...
2 Reactions
8 Replies
773 Views
Je Kuna uwezekano wa mtu kusoma kozi mbili ndani ya intake moja chini ya NACTE!?
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa. Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na...
2 Reactions
3 Replies
979 Views
Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Anonymous
Habari yenu Jamii Forums, naona wadau wengi wamekuwa wakisaidika kupitia jukwaa hili, naomba unipazie sauti Mimi ni muhitimu wa Diploma (ambaye nasubiria kufanya Graduation mwezi December 2024)...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring Huyu binti alimaliza...
0 Reactions
57 Replies
12K Views
Katika kuangazia maswala yetu ya elimu kuna mambo kadhaa yamefanyiwa mabadiliko kwenye utekelezaji wa sera ya elimu ya 2014 toleo la 2023. utekelezaji wa mabadiliko hayo umeendelea katika ngazi...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Habari wakuu nilikuwa na uliza hivi Kwa haya matokeo ya physics-S, chemistry -D na biology -C a level anaweza soma banchelor of science in nursing Uganda na akirudi Tanzania akatambuliwa na TCU...
1 Reactions
6 Replies
736 Views
Wakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa wale mlio na mapesa benki, na ambao mna vijana wanaotarajia kujiunga vyuoni, nawashauri muwapeleke Daystar University. Kauli mbiu yake ni "The University with a difference." Kwanini chuo...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Kampuni ya Chenga Ed.Tech inakupatia mkopo wa asilimia 75 ya kusoma nchini Canada 75%Student Loan(No Guarantor or Collateral) 1. Financial Aid 2. Part Time Job 3. Guaranteed Job Placement 4...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Rose Joseph leo Jumamosi tarehe 24 Mei 2025, katika Ukumbi wa LT2 (CHSS) UDOM amefanya Uzinduzi wa Taasisi ya Wanafunzi...
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Ndugu zangu JamiiForums Habari zenu! Nimeona chapisho lenu kuhusu uhamisho, limeniumiza sana ndugu zangu. Kwa nini nimeumia? Napitia changamoto kama hiyo, mimi pia mke wangu ni muajiriwa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa...
112 Reactions
219 Replies
20K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni...
18 Reactions
277 Replies
11K Views
Back
Top Bottom