Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Mfumo wa Bodi ya Mikopo HESLB, ni zaidi ya wiki sasa tunapata shida katika kutuma maombi, nawapigia simu zao hawapokei, tupewe hata maelekezo tujue nini kinaendelea, ni kero kubwa aise. Ni kwamba...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Habari wana jf leo tujikumbushe kidogo kwenye upande madom advance . Kwa upande wangu mm nili lala mkwawa na seuta . #wew je?
2 Reactions
8 Replies
468 Views
Msaada kwa mwenye uelewa wa hiyo kozi ikoje ajira zake kwa ujumla
1 Reactions
7 Replies
754 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Anonymous
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Wakuu wana JF, hope mpo salama. Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9 Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
Habari wakuu, mwenye kujua course ambazo mtu ni wepesi kujiajiri na kupata kazi hata kabla hajamaliza kusoma na baada ya kumaliza kusoma kazi ni uhakika. Nitaanza na baadhi ambazo nazifahamu. 1...
2 Reactions
8 Replies
535 Views
Anonymous
Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi...
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie...
4 Reactions
20 Replies
890 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza kuwa hakitapokea wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/26 katika baadhi ya kozi za ualimu. Taarifa hiyo imetolewa na Ofisi ya Naibu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA VETA AMBAZO UKISOMA UNAWEZA KUZIBADILISHA KUWA WAZO LA BIASHARA Unapojifunza moja ya kozi hizi kutoka VETA, hupati tu ujuzi wa ajira bali unapata nafasi ya kuanzisha...
2 Reactions
3 Replies
550 Views
Mfumo wa udahili wa chuo cha TIA na Ardhi umekuwa ukisumbua toka jana na kushindwa kufanya udahili.
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, ikiwemo hatua ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, Naomba mnisaidie kujibu swali tajwa hapo juu, ipi ni kozi nzuri kusoma Kati ya hizo kwenye nyanja ya kuajiriwa pamoja na kuajiriwa. Japo lengo langu kubwa ni kujiajiri...
4 Reactions
8 Replies
975 Views
JE, UNA NDOTO YA KUWA ENGINEER, AU DOCTOR? Timiza ndoto zako sasa. Karibu (MAPAMBANIO CENTRE- TEGETA NYUKI) ... uwe Master kwenye PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY na MATHEMATICS (O LEVEL & A LEVEL)...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Habari za muda huu kila mwanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo naombeni mnipe mwongozo
1 Reactions
1 Replies
377 Views
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nashindwa kufanya application ya mkopo shida nini muda huu ni mtandao au ,naombeni mwongozo wenu wakuu
1 Reactions
3 Replies
426 Views
Back
Top Bottom