Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau naombeni kwa anayefahamu shule nzuri ya kike ambapo kuna A level. Mkoa wa Dar. Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi nashangaaga hii dhana aliianzishaga nani, yani yanageuka hadi kuwa malumbano sasa 😂 😂 😂 Sijui wanafunzi wa X wameiva na mwengine anatetea kwamba wanafunzi wa chuo Y wameiva, na ni mara nyingi...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu nimemaliza chuo sasa ninaplan nikasomee Uoperator wa makatapila na mitambo mingine mikubwa. Kwa bongo chuo gani kinatoa hii Elimu? Na tarajib zikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF naomba kusaidiwa kuhusu ili je ni chou gani ambacho kipo dar es salaam ambacho kina kozi za ujenzi wa barabara Nahitaji kupata elimu zaidi kwani kwa sasa nafanya kazi ya kuchukua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii forums natumaini wote muwazima. Nataka kuhama kutoka T.I.A singida kuja kusoma Dar es salaam, je ni chuo gani kizuri Kwa course ya accountancy level ya diploma. Naombeni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Naomba kufahamu ni kwanini mara nyingi ukiangalia picha zilizopo katika vyeti vya kitaaluma hasa vile vinavyotolewa na NECTA Form 4 na Form 6, zinakuwa mbaya kiasi kwamba kama hukumbuki...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wilya ya chemba-Dodoma ina uhaba wa walimu wa shule za msingi na sekondari.kumekuwa na vyuo vingi vya elimu mkoani hapa na kwingineko lakini hakuna mwamko kwa wanavyuo kufanya field ndani ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar za muda huu, naomba msaada kwa atakayeweza kunisaidia namna ya kumfundisha mwanafunzi namna ya kuandika HERUFI K, mwanafunzi huko ni wa awali (nussery school). Naamini humu kuna walimu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu.. Ni masomo gani ambayo mtu mwenye bachelor degree ya accounting kutoka recognized institution hapa tanzania anapaswa kuyafanyia mtihani ili aweze kupata cpa(t) kupitia bodi ya nbaa...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
*I find this to be Very interesting and meaningful message 2 share*:- ```IF: A = 1 B = 2 C = 3 D = 4; E = 5 F = 6; G = 7 H = 8; I = 9 J = 10 K = 11 L = 12 M = 13 N = 14 O = 15 P = 16 Q...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, poleni kwa uchovu wa mihangaiko ya maisha. Naandika uzi huu nikiomba anayejua anipe ufafanuzi, Suala ni kwamba mtu anayesoma VETA anaweza kuja kusoma certificate (yaani...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Naombeni msaada kujua. Kozi tajwa hapo juu ukisoma unaweza kufanya kazi ya magement? Naamanisha unaweza kuajiriwa kazi nyingine nje ya ualimu? Ajira zake ni zipi? Umuhumu wake...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha...
2 Reactions
124 Replies
21K Views
Aisee mkoa wa Iringa kielimu nao si haba kwa nyanda za juu kusini Miaka hyo ilianzishwa Mufindi Education Trust (MET) ambayo ilikuwa chini ya marehemu Mbunge na Waziri wa zamani wa Elimu JJ Mungai...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye...
0 Reactions
108 Replies
23K Views
Naomba kujua kwa mwanafunzi mwenye mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ni mambo gani yanaweza kumfanya kusitishiwa mkopo akiwa bado chuoni. Asante.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University kimezindua programu ya kufundisha lugha ya kiswahili. Aidha, chuo hicho kimezindua Centre for East African Studies. Afisa Ubalozi Ndugu...
17 Reactions
230 Replies
25K Views
Nisaidieni wadau nina form 4 div three ya 2013.Nimeachwa vyuo vyote nipeni ushauri.Nina Maths B+,Bios B+,Geog D,Chemistry D,Phys E,Civics D,Hist D
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production). Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom