TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 929
- 1,276
Habar za muda huu, naomba msaada kwa atakayeweza kunisaidia namna ya kumfundisha mwanafunzi namna ya kuandika HERUFI K, mwanafunzi huko ni wa awali (nussery school).
Naamini humu kuna walimu wa nursery na wenye uzoefu wa kufundisha. Pia kama una kitabu cha soft copy ukitupia itapendeza zaidi.
NB: Nimepita YouTube na Google kote huko bado sijafanikiwa kupata picha halisi.
Asanteni.