Cunch
Senior Member
- Apr 19, 2014
- 162
- 142
Wilya ya chemba-Dodoma ina uhaba wa walimu wa shule za msingi na sekondari.kumekuwa na vyuo vingi vya elimu mkoani hapa na kwingineko lakini hakuna mwamko kwa wanavyuo kufanya field ndani ya wilaya ya Chemba.
Hivyo nikiwa kama mdau wa Elimu natoa wito kwa vyuo mbalimbali kuleta wanavyuo maeneo haya hasa hasa kwenye shule zenye uhitaji kama vile Farkwa Sekondari,Mondo Sekondari, Msakwalo Sekondari, Chemba Sekondari n.k.
Na kama kuna mdau yeyote mwenye link na chuo chochote cha elimu aniunganishe ili tutengeneze mazingira mazuri kwa field.
Natanguliza shukran za dhati kwa watakao fanikisha hili.
Sent using Jamii Forums mobile app