Je, kuna ulazima wa Picha (passport) zilizopo katika vyeti vya taaluma kuwa mbaya?

Masimba 4hsu

New Member
Dec 21, 2019
3
6
Habari,

Naomba kufahamu ni kwanini mara nyingi ukiangalia picha zilizopo katika vyeti vya kitaaluma hasa vile vinavyotolewa na NECTA Form 4 na Form 6, zinakuwa mbaya kiasi kwamba kama hukumbuki ulikuwa umevaa shati gani unaweza kuikataaa sura yako.

Je hilo huwa lina maana yeyote kiusalama au kiutaratibu katika utendaji wa NECTA? Na kama hilo sio policy ya NECTA je huwa linasababishwa na nini sababu utakuta camera iliyotumika kupiga picha ni kubwa (pixel nyingi). Lakini picha zinakuwa mbaya kwenye cheti!

Naomba mwenye ufahamu wa hilo anijuze tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka kujibinua?
 
Back
Top Bottom