Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

kangaya

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
51
Reaction score
3
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?
 
Nakushauri utulie kwanza uapply afresh mwakani.
Zimamoto kama hizo utafanya mambo yasiwe sawa sehemu.
 
its better ukapumzika, subiri mwakani refresh your mind na uangalie changamoto zilizopo mtaani atleast you could get better idea of which coz to study next year
 
Nakushauri utulie kwanza uapply afresh mwakani.
Zimamoto kama hizo utafanya mambo yasiwe sawa sehemu.

Nashukuru kwa ushauri wako....lakini haya mambo ya BRN yanachangia ufaulu kuwa wa juu kila mwaka. Naogopa kwa mwakani kuwa hivyo hivyo na nikashindwa kupata kozi nzuri.
mfano mzuri..mimi nilimaliza form six 2013 PCM na nikapata DIVISION ONE POINT 9.. phy-D,chem-B na ADV-C kwa mwaka ule ningeweza kuapply kozi yoyote na nikapata kwa kuwa ufaulu ulikuwa mdogo sana lakini kwa mwaka huu siwezi kuchagua kozi fulani kwa sababu hiyo ni div 2 according to BRN!
 
Tulia refresh then apply mwakani..kuhusu kozi unayopenda i guess u had a chance but u failed..dont look back move on lakini usifanye papara
 
Wanaokuambia tulia wadhani kuwa wanakudanganya?? Tulia kwanza, halafu mwakani, apply tu kwa imani kubwa na uhakika. Tena, angalia the current need of Manpower. Zipo sector nyingi tu unazoweza kuingilia kupata Chuo. Kama unataka ati usichelewe wakakujua kuwa ulwahi ku Disco basi ulishaharibu, na maji yakishamwagika hayazoleki.
 
sijaelwa hapo kwenye "zipo sector nyingi nazoweza kuingilia kupata chuo"...sector gani hizo??
 
Mi pia nakushauri ukae chini kwanza utulie akili ijipange upya na ikiwezekana utafute hata tempo au shughuli yoyote mtaani ili usikae idle. Then uanze kuangalia mapema program utakayoimudu vyema darasani na ambayo ina mashiko kwenye soko la ajira then ndo uombe tena chuo. Pia kwa kipindi hiki hutakiwi kuwaza au kuangalia nani anakuona au anakusema vibaya isipokua focus zaidi kwenye kuyaandaa maisha yako ya baadae, kaa ukifahamu kwamba kila mja kapangiwa rizki yake na Mola wake hivyo usikate tamaa wala kuvunjika moyo cz maisha ni mtihani na sisi wanadamu ndo wahusika. Nikutakie kila la heri mkuu naamini utapata chuo tena!
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

pole sana mdogo wangu

sina chochote nijuacho huko kwenye loan maana sisi tulisoma miaka ya 90, lakini ushauri wa fasta ni kwamba humble down, be honest, waeleze wenye ofisi zao shida na concern zako, halafu muombe na Mungu akusaidie

Pia usiache kutafuta scholarship hata kama ni za mwenda Rwanda, in most cases, international students huwa hawadisko

Pamoja katika maombi
 
Nashukuru kwa ushauri wako....lakini haya mambo ya BRN yanachangia ufaulu kuwa wa juu kila mwaka. Naogopa kwa mwakani kuwa hivyo hivyo na nikashindwa kupata kozi nzuri.
mfano mzuri..mimi nilimaliza form six 2013 PCM na nikapata DIVISION ONE POINT 9.. phy-D,chem-B na ADV-C kwa mwaka ule ningeweza kuapply kozi yoyote na nikapata kwa kuwa ufaulu ulikuwa mdogo sana lakini kwa mwaka huu siwezi kuchagua kozi fulani kwa sababu hiyo ni div 2 according to BRN!

dogo, pole sana (again)

Naunga mkono uharaka wako, usiache kitu kilale kama unaweza kukifanya leo, try to your best
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

When one door is closed, many more are opening. Just stay positive and look for opportunities. Discontinuation is not the end of the tunnel but it's just a beginning of your journey to success.
 
pole sana mdogo wangu

sina chochote nijuacho huko kwenye loan maana sisi tulisoma miaka ya 90, lakini ushauri wa fasta ni kwamba humble down, be honest, waeleze wenye ofisi zao shida na concern zako, halafu muombe na Mungu akusaidie

Pia usiache kutafuta scholarship hata kama ni za mwenda Rwanda, in most cases, international students huwa hawadisko

Pamoja katika maombi

mbona hapo ud hao wanyarwanda wanadisco vizuri tu?
 
Tatizo lako ni saikolojia,najua kwa sasa una wakati mgumu! unajihisi mwenyewe pia unajiuliza watu wako wa karibu watakuonaje! pia unaepueka uunganishe juu kwa juu kabla watu wengine na marafiki hawajajua kuwa uli-disco kwani ulipata division ONE wanaamini wewe ni kichwa. Hizo ni moja ya changamoto zako nina uhakika! Ushauri wangu acha papara tulia kwa mwaka huu plz! Watu walisha disco baadae wakanyanyuka wakafanya wonders, ni vijimambo ukajikuta umeingia nyavuni mkuu! Ningeshauri mwakani uombe chuo kingine ubadili na mazingira using'ang'anie hapo Udsm ili watu wasikuulize maswali mbona umehama chuo na kujua kuwa uli-disco!
 
Kama ikiwezekana ukawahi omba, lakini pia tcu nadhani huwa wanatoa awamu ya pili ya kuomba chuo ikitoke omba.

Hakuna haja ya kusubiri mwakani, kama nafasi ikitokea ya kuomba au ukipata nafasi omba mdogo wangu.

Pole lakini. Netx time kua makini, angalia vitu vilivyopelekea wewe kushindwa na uvipunguze au kuviacha.
 
Mhh pole sana ila kwa ushaur tu apply chuo kingine utapata ilo. Swala sidhan kama linaukwel wowote niliwahi kuwa na rafik angu alidisco mwaka Huo alijiunga na chuo kingine ivo usidanganywe kuhusu izo barua labda iwe unataka apply chuo icho icho
 
Nashukuru kwa ushauri wako....lakini haya mambo ya BRN yanachangia ufaulu kuwa wa juu kila mwaka. Naogopa kwa mwakani kuwa hivyo hivyo na nikashindwa kupata kozi nzuri.
mfano mzuri..mimi nilimaliza form six 2013 PCM na nikapata DIVISION ONE POINT 9.. phy-D,chem-B na ADV-C kwa mwaka ule ningeweza kuapply kozi yoyote na nikapata kwa kuwa ufaulu ulikuwa mdogo sana lakini kwa mwaka huu siwezi kuchagua kozi fulani kwa sababu hiyo ni div 2 according to BRN!

kaka sio hivyo treatment yako na ya hao faulu bure ni tofauti kabisaaa, wewe wanakuchukulia kwa matokeo hayo hayo ya division one point 9
 
Mhh pole sana ila kwa ushaur tu apply chuo kingine utapata ilo. Swala sidhan kama linaukwel wowote niliwahi kuwa na rafik angu alidisco mwaka Huo alijiunga na chuo kingine ivo usidanganywe kuhusu izo barua labda iwe unataka apply chuo icho icho

ku-apply chuo chochote haiwezekani kwa sasa mpk nipeleke barua ya kudisco ndipo nifutwe na niapply upya chuo chochote!kwa sasa system inanitambua bado kuwa nilishapangiwa chuo tayari
 
Back
Top Bottom